kesssyelias
JF-Expert Member
- Jul 13, 2017
- 261
- 273
Habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba, Sudan
Naona mwenzetu umehamishia bishara zako huko Sudan ya Kusini. Hongera sana.habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba-sudan
Mwenzetu uzalendo uko wapi unaacha Bandari yetu nambari wani duniani unataka kutumia hiyo bubu?Habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba, Sudan