Gharama za body checkup na hospitali nzuri kwa ajili body checkup

MAENE

Senior Member
Jan 7, 2011
116
170
Salaam wadau,

Nina vijisenti kadhaa nilidunduliza toka mwanzoni mwa mwaka kwa lengo la kuja kufanya checkup ya afya yangu mwishoni mwa mwaka huu.
1)Kwa anayefahamu gharama za kufanya body checkup ya mwili mzima naomba anijuze.
2Pia hospitali nzuri hapa dar kwa ajili ya kwenda kufanyiwa checkup ya kila kitu mwilini.

Asanteni.
 

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,270
2,000
Una umri gani?
Je, umewahi kufanya check-up hapo kabla?
Binafsi naamini haya mambo mengine yanaendana na lifestyle ya mtu. Sio ajabu wewe umeishi miaka yote raha mstarehe lakini ukienda kufanya hiyo mara ndio wanaanzia kukueleza kuwa: moyo una tundu, figo zitafeli, damu haizunguki vizuri, utumbo hausagi chakula inavyotakiwa nk, alafu hitimisho ni kuishi kwenye nyumba ambayo ni 'dust proof' na kula nyama isiyo nyekundu mara tatu kwa juma.
 

Eugeniafaith

Member
Apr 3, 2012
86
125
Nenda hitech sai upanga opp al muntazir sec school at the junction of UN Road and lugalo street
Call for health check up appoitment
0754787869
0782782073
 

Eugeniafaith

Member
Apr 3, 2012
86
125
Au nenda HAEMEDA medical clinic
Located at Tanzania scouts association head quarters building
Malik road,block/plot number 1078
Call for appointment +255 22 2151598
+255 758 012006
+255658012006
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,237
2,000
Isije kuwa tunapewa clinic zenye uwezo wa kupima kichocho tu.hao kweli wana kila vifaa vya kupimia?
 

Chocolate

Senior Member
Feb 5, 2009
117
170
Kuna kipindi muhimbili walikuwa wanatangaza kutoa huduma hiyo kwa ada ambayo sikumbuki ilikuwa sh ngapi pia walitoa na namba ya simu niliichukua lkn sijuwahi kupiga sina uhakika kama huduma bado ipo namba ni 0715 648 636 labda jaribu kupiga kuulizia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom