Gharama za body checkup na hospitali nzuri kwa ajili body checkup

MAENE

Senior Member
Jan 7, 2011
116
22
Salaam wadau,

Nina vijisenti kadhaa nilidunduliza toka mwanzoni mwa mwaka kwa lengo la kuja kufanya checkup ya afya yangu mwishoni mwa mwaka huu.
1)Kwa anayefahamu gharama za kufanya body checkup ya mwili mzima naomba anijuze.
2Pia hospitali nzuri hapa dar kwa ajili ya kwenda kufanyiwa checkup ya kila kitu mwilini.

Asanteni.
 
Mkuu kutokana na hyo akba yako ulonayo, Je unataka ukafanyie private au Goverment hyo check up?
 
Nina vijisenti kadhaa nilidunduliza toka mwanzoni mwa mwaka kwa lengo la kuja kufanya checkup ya afya yangu mwishoni mwa mwaka huu.


Ndugu yangu inaitwa medical check up kama ni kwa hiyari.Inashauriwa kuifanya mara kwa mara,.at least mara moja kwa mwaka..ushauri wa bure,.kata BIMA ya afya,itakuwia rahisi pia kupambana na magonjwa yoyote utakayokutana nayo,maadam yawe yapo kwenye fidia ya bima ya afya
 
Back
Top Bottom