Gharama ya kutengeneza kisima Dar

mkuu samahani.. nilikuwa nataka kujua hayo maji baridi ni maji yasio na chumvi? Mimi niko Dar maeneo ya tabata na ninahitaji kuchimba maji ila juz juz hapa nimefatilia nikaambiwa million tatu na nusu hivi kuanzia survey mpaka uwekaji wa pump..
sasa nilikuwa nakuomba unisaidie mawasiliano ya hao vijana.
asante
Mtafute huyu 0716322345
 
Sasa nimekua najiandaa toka mwaka jana,ndo mda wa kufanya kazi.
Nashukuru kurudi hapa na kukuta mambo mengi yame wekwa wazi.
Sasa kazi tu.
Sasa kazi tu=Hapa kazi tu japo ilikuwa 2012...Kisima ulichimba na dau la kiasi gani...
 
haha,kumbe wali niibia kauli mbiu yangu.
Nilichimba mkuu,sasa viko viwili,vyote gharama ilikua 4.5m

4.5m ni gharama nzuri jwa visima viwili, lakini je visima vyote vina urefu kiasi gani kwenda chini na gharama hii inajumuisha pamoja na kuvijengea na kuvifunika?
 
4.5m ni gharama nzuri jwa visima viwili, lakini je visima vyote vina urefu kiasi gani kwenda chini na gharama hii inajumuisha pamoja na kuvijengea na kuvifunika?
Bro,4.5m ni gharama ya kisima kimoja.
kimoja nyumbani kingine shambani,so jumla ni 9m.
cha nyumbani kina urefu wa 65m na shamba ni 80m,

Cha muhimu sio kuangalia urefu ila upatikanaji wa maji eneo husika.
jirani yangu yeye alitaka mita 100 kama condition kwa mchimbaji na alicho ambulia ni maji mengi sana yenye chumvi ya kutosha.
 
mie nawajua wachimbaji wa bei nafuu wanapopatikna uliyeseriouc nitafte nko dar
 
Back
Top Bottom