Gharama ya Kurudia kupaka rangi nyumba

Rascallone

Member
Dec 20, 2017
61
49
Naomba kujua gharama ya kurudia kupaka rangi nyumba baada ya rangi ya awali kuchakaa. Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sitting& dinning room, na jiko.
 
Mkuu Mimi ni fund nitext wasup.au.nipigie 0757735884 fundi rangi ningependa nipate majibu kutoka kwako ili.nijue nyumba inahali gani.tushauriane chakufanya had kaz smart itokee nitafute au nitext wasup.kwa.ushaur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom