Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?

Hakuna radi huku, ni stori za kusogezea muda tu, na pengine wanaokuambia hivyo wana nia ya kukutapeli. Kimbilio pekee ni MUNGU, achana na ushirikina, utaabika duniani na mbinguni
Mkuu, kama huna uhakika na kinachoongelewa sio lazima kuchangia mada. Nimekaa mikoa tofauti tofauti yenye mambo hayo. Radi za kishirikina zipo. Kama unaamini Mungu yupo, amini na kwamba ushirikina UPO. Kuna watu wanazuia mvua kunyesha mahali fulani, na hainyeshi. Uliza watu wa Kakonko ama Kibondo mkoani Kigoma. Hayan ni mambo ya kawaida sana kwao. Kwenye maeneo wanapofyatulia matofali, huwa wanazuia mvua isinyeshe iwapo matanuri hayajaiva ama iwapo matofali hayajakauka vizuri. Kama hujafanya utafiti USIBISHE bro.
 
Mungu na hizo radi zote ni imani,Itafanya kazi kadri mhusika anavyoamini.binafsi yangu nilishuhudia huko njombe vijijini sehemu panaitwa kidegembye mwaka Jana kuna jamaa alitumiwa hiyo radi akiwa saloon na kulikuwa Hanma mvua na ilikufa peke take.
Mkuu haya mambo yapo haijalishi unayaamini au huyaamini.
Ulifuata nini Kidegembye mazee? Mie nimefika Matembwe na Image 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mimi nauza mamba, atamtokea kwenye beseni la maji akiwa bafuni anaoga, au atatoka ndani ya bilauri anayonywea maji..mamba atampa adhabu ndogo tu ataondoka na mkono wake mmoja. Kama uko tayari karibu hapa hapa kibarazani tuyajenge.
Member from ukerewe utajua tu sifa zao
 
Mkuu, kama huna uhakika na kinachoongelewa sio lazima kuchangia mada. Nimekaa mikoa tofauti tofauti yenye mambo hayo. Radi za kishirikina zipo. Kama unaamini Mungu yupo, amini na kwamba ushirikina UPO. Kuna watu wanazuia mvua kunyesha mahali fulani, na hainyeshi. Uliza watu wa Kakonko ama Kibondo mkoani Kigoma. Hayan ni mambo ya kawaida sana kwao. Kwenye maeneo wanapofyatulia matofali, huwa wanazuia mvua isinyeshe iwapo matanuri hayajaiva ama iwapo matofali hayajakauka vizuri. Kama hujafanya utafiti USIBISHE bro.
Hata mimi nadhani hukusoma vizuri post yangu ukaielewa. Nimemwambia aachane na ushirikina, sijamwambia hakuna ushirikina. Kama nimesema aachane na ushirikina, obvious ni kwamba najua upo
 
Huyu jamaa amekuwa akinifuatilia muda mrefu sana. Jumamosi kidogo nimchane na risasi pajani.but tukayamaliza. Leo nmekuta anaendelea kunipikia majungu.

Ni muda mrefu nlimwambia majungu si mtaji.lakini naona kawekeza sana kwenye hayo. Jamaa ana roho ya kichawi kabisa.yaani hivi mnacheka naye lakini ukigeuka tu anakusema vibaya sana.baadaye atakupigia simu akikuita bro n.k

Nlishamwambia apite kushoto nipite kulia ila naona haelewi.nmeona tusigawane majengo ya serikali.nirudi kwenye asili yetu.

Rukwa aka Sumbawanga nasikia wanatengeneza RADI. Radi zao hazitegemei msimu wa mvua. Je kuna mtu anafahamu gharama zake? Mi staki ile radi grade 1 ya kuua kabisa.

Hapana. Nataka ya kumchania chania nguo zote mbele za watu na kumgaragaza chini kinyama...kumpa michubuko mwili mzima.je kwa radi hiyo itakuwa Tsh. ngapi?

Pia nataka nijue kama nikinunua ni lazima niifate kiwandani au wanaweza ituma kwenye magari ya mikoani au posta?

Ushauri wangu pia. Kama wanaweza wangefungua vituo huku kuwe na agents wao ili tuwe tunapata hizo radi kirahisi tu kuwatumia watesi wetu.hii itatuondolea hbr ya kufuatilia kesi na kuwekwa ndani.

WALIOKO SUMBAWANGA/RUKWA MKOA. PLEASE NAOMBA MSAADA WENU.MNIPE BEI NA PIA NAMNA YA KUPATA HIYO BIDHAA.ASANTENI.
Ukifanikiwa mkuu tupe connection, tuna ukoo wa ibilisi unawatesa sana watanzania, ukoo ukiongozwa na jiwe, bashite, aspirin misiba, shotii ndugyai, na wengineo

Tutajichanga tu na ndugu zangu Salary Slip , Erythrocyte , jmushi1 , PNC , na wanafamilia wengine.
 
Sumbawanga wako vizuri, mwewe alishawah mbeba ng'ombe huko. Sema hawapendi show off tu kama naniliu...
 
Imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako.
Msamehe binadamu mwenzio hata 7 mara sabini 70.
Mwenzio akikupiga kofi mgeuzie na upande wa pili.
Akikunyang'anya kanzu yako mpe na ya pili pia.
 
Huyu jamaa si jirani yangu.so sina sababu ya kumpenda.
But pia nafsi yangu siipendi so namfanyia inavyofaa

Kwa jinsi ambavyo nmemsamehe imeshazidi mara 490

Yeye hajanipiga kofi kanipiga mtama.hapo sijui neno linasemaje.

Kanzu sina so sina cha kumpa zaidi ya RADI TU.

Imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako.
Msamehe binadamu mwenzio hata 7 mara sabini 70.
Mwenzio akikupiga kofi mgeuzie na upande wa pili.
Akikunyang'anya kanzu yako mpe na ya pili pia.
 
Huyu jamaa amekuwa akinifuatilia muda mrefu sana. Jumamosi kidogo nimchane na risasi pajani.but tukayamaliza. Leo nmekuta anaendelea kunipikia majungu.

Ni muda mrefu nlimwambia majungu si mtaji.lakini naona kawekeza sana kwenye hayo. Jamaa ana roho ya kichawi kabisa.yaani hivi mnacheka naye lakini ukigeuka tu anakusema vibaya sana.baadaye atakupigia simu akikuita bro n.k

Nlishamwambia apite kushoto nipite kulia ila naona haelewi.nmeona tusigawane majengo ya serikali.nirudi kwenye asili yetu.

Rukwa aka Sumbawanga nasikia wanatengeneza RADI. Radi zao hazitegemei msimu wa mvua. Je kuna mtu anafahamu gharama zake? Mi staki ile radi grade 1 ya kuua kabisa.

Hapana. Nataka ya kumchania chania nguo zote mbele za watu na kumgaragaza chini kinyama...kumpa michubuko mwili mzima.je kwa radi hiyo itakuwa Tsh. ngapi?

Pia nataka nijue kama nikinunua ni lazima niifate kiwandani au wanaweza ituma kwenye magari ya mikoani au posta?

Ushauri wangu pia. Kama wanaweza wangefungua vituo huku kuwe na agents wao ili tuwe tunapata hizo radi kirahisi tu kuwatumia watesi wetu.hii itatuondolea hbr ya kufuatilia kesi na kuwekwa ndani.

WALIOKO SUMBAWANGA/RUKWA MKOA. PLEASE NAOMBA MSAADA WENU.MNIPE BEI NA PIA NAMNA YA KUPATA HIYO BIDHAA.ASANTENI.
Muombe Mungu akusamehe. Waoga na wasiojiamini ndo wenye mawazo kama ya kwako
 
Back
Top Bottom