Takalani Sesame
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 588
- 161
Hivi Mwalimu angekuwa na mtizamo huu, 'mswahili' gani angemudu nyumba ya NHC. Hii miradi ya nyumba za NHC imelenga kuwafaidisha akina nani? Maana haiingii akilini kuwa mwananchi wa kawaida anaweza kumudu kununua apartment ya shs mil 320.
http://www.nhctz.com/mindu/RELEASE_Swa.pdf
Miradi zaidi ingia humu
Welcome to NHC: "Your Partner in Real Estate Development and Management"
http://www.nhctz.com/mindu/RELEASE_Swa.pdf
Miradi zaidi ingia humu
Welcome to NHC: "Your Partner in Real Estate Development and Management"