Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,238
- 151,899
Hili ndio swali ninalojiuliza ukizinatia hao wateule na wageni wote hao wametoka Dodoma ambapo pana Ikulu ambayo ingetumika kufanya hiyo shughuli.
Tukumbuke nchi yetu ina matatizo kibao ikiwemo shule za msingi na hata za sekondari zinazomilikuwa na serikali kuwa na upungufu wa matundu ya choo mbali na upingufu wa vitu kama madawati, n.k.
Tusisahau pia Ikulu ya Dodoma imejengwa kwa gharama kubwa na pia ipo katika ya nchi.
Sometimes najiuliza au lengo ni kupeleka wageni Zanzibari ili Zanzibar ifanye biashara ya mahoteli, vinywaji, vyakula, n.k?
Hakika hii nchi ni masikinii kwasababu tuna viongozi wasiofaa na si kitu kingine.