Gharama ya kuchukua fomu ya uenyekiti Serikali za mitaa

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
523
Habari zenu wanaJF,

Naomba kujua kwa yeyote anayejua gharama za kuchukua fomu za kugombea uenyekiti Serikali za mitaa kupitia chama cha mapinduzi ni kiasi gani.

Nawasilisha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom