Gharama/mahitaji na changamoto za kuendesha blog ( mtandao wa kijamii)

Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
My dears Karibuni tujenge Taifa jamani kwa kupeana maujuzi ili wengine tu copy na ku paste huku tulipo kwa maslahi binafsi kwanza na ya wengine pia hapo badae.

Nilikuwa napenda kujuzwa kutoka kwenu wenye ujuzi wa mambo ya IT kuhusu hiyo mada tajwa hapo juu.

Natarajia mengi kutoka kwenu

Asante
 
Back
Top Bottom