Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi.
Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40.
Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60.
Hiyo inafanya kila kilometer imegharimu = 300,000,000,000 / 60
ambayo ni: TShs 5,000,000,000 (TShs 5 bilioni per km)
Hapo kumbuka nimeacha TShs 88 Bilion. Hizo tufanye ndio ujenzi wa vituo; Mashine za ticketi na chochote kile. Ambayo kiukweli I doubted hata kama kiuhalisia haifiki TSHs 10 Bilioni.
Lakini kurudi kwenye hoja ya gharama ya ujenzi wa km moja (TShs 5B).
Hela iliyookolewa kwenye sherehe za uhuru ni TShs 4B na zinajenga kilometer 4.3 toka Mwenge mpaka Morocco.
Sasa inawezekanaje hapo hela ya kujenga kilometer 5 ijenge kilometer 1?
Na ikumbukwe nimekadiria juu mno hizo kilometer ambayo inafidia kila kitu hata kama itajengwa hoja ya utofauti wa kiwango na aina ya barabara.