Gharama juu Wizara Ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama juu Wizara Ardhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Oct 2, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  mshtuko umewakumba wananchi waliofika wizara ya ardhi baada ya kupandishwa kibabe gharama zote za huduma za ardhi kwa zaidi ya asilimia 400. Huu ni wizi wa mchana.
   
 2. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  search imetoka shs 10,000 hadi 40,000. Land rent kwa alielipa laki moja sasa ni laki nne. Nimeambiwa na official mmoja ni AGIZO.
   
 3. M

  Mchili JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Laki nne kwa lipi? viwanja havina maji, mitaro ya maji machafu hamna taa za barbarani wala mitaa haijanyooshwa!!

  Huu ni wizi
   
 4. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,773
  Likes Received: 1,464
  Trophy Points: 280
  sheria inampa waziri mwenye dhamana kufanya review ya gharama husika kulingana na mahitaji!
   
 5. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  sheria inampa waziri mwenye dhamana kufanya review ya gharama husika kulingana na mahitaji.

  Hebu eleza hayo mahitaji ni yapi na criteria ipi imetumika kupandisha % 400.? Huduma ipi imeboreshwa so far. Vigezo gani mmevitumia? Najua wewe ni mmojawapo wa wezi hao.
   
 6. gulio

  gulio JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kila mmoja amekuwa tra. maanake serkali haina hela.
   
 7. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,810
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ipo siku sauti za waTZ zitakuwa suluhisho......
   
 8. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 666
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Hiyo ndo serikali ya awamu ya nne bana. Nyi mnafikili jk atapata wapi hela kwenda safari zake za nje ya nchi kuomba vyandarua na kubembea?
   
 9. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,526
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hayo ni mambo ya Dar
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  subirini muone ilivyopanda property tax ndiyo mtakoma kuifahamu serikali ya JK, kwani yenyewe imepaa hiyo land rent ya 400% ni cha mtoto
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya wananchi kugomea hizi kodi!!
   
 12. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  Hiyo yote ni kwa ajili ya kugharamia safari za mk.we.re na vidosho ughaibuni.
   
Loading...