Gharama hizi za makinikia ambazo hazijawekwa wazi walipa kodi tunataka kuzijua

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Swala la uchunguzi wa makinikia bila shaka lilikuwa na gharama zake na gharama hizo zililipwa kwa kutumia kodi zetu ingawa mpaka sasa hatuoni kinachoendelea licha ya kodi zetu kutumika.

Mimi naomba kuuliza mambo yafuatayo yalitumia fedha kiasi gani.

1.Kamati ilitumia fedha kiasi gani mpaka kukamilisha kazi yake.

2.Matangazo live ya tv yalitgharimu fedha kiasi gani.

3.Majadiliano kati ya serikali na kampuni ya Barrick yalitumia fedha kiasi gani.

4.Gharama za kuandaa na kukabidhi nishani kwa wajumbe wa kamati za makinikia ilikuwa ni kiasi gani.

5.Gharama (kama zipo) za kushikiia makontena ya makinikia kwa miezi kadhaa ni kiasi gani.

6.Mazungumzo yanayoendelea, kama kweli yapo, mpaka sasa yamegharimu fedha kiasi gani.

Ni mimi mlipa kodi.
 
shikilia hapo hapo, mkuu.
usiachie mpaka batuambie ela zetu zote zilizokopotelea!!
 
Hivi yale makontena ya makinikia yaliyokuwa yameshikiliwa pale bandarini bado yapo? Au yalishatangulia mbele za haki?
 
Mazee, kama Bombardier na Dreamliner zimenunuliwa kwa bajeti isiyojulikana na bila zabuni iliyo wazi, sitegemei sana bajeti ya kamati iwekwe wazi.

Sanasana utatafuta kuambiwa "sijaribiwi" na "utapata tabu sana".

Andaa kukataa utawala huu kwenye kupiga kura tu, na hata huko sina hakika kama hawataiba kura. Maana mpaka jirani zetuwanakujakuchukua mafunzo ya kuiba kura kwetu. Ona Mnangagwa in Tanzania for State visit

Huo ndio mustakabali wa kizungumkuti chako.
 
Awamu hii kuna matumizi yasiyojulilkana mbali na watu wasiojulikana!!
 
Swala la uchunguzi wa makinikia bila shaka lilikuwa na gharama zake na gharama hizo zililipwa kwa kutumia kodi zetu ingawa mpaka sasa hatuoni kinachoendelea licha ya kodi zetu kutumika.

Mimi naomba kuuliza mambo yafuatayo yalitumia fedha kiasi gani.

1.Kamati ilitumia fedha kiasi gani mpaka kukamilisha kazi yake.

2.Matangazo live ya tv yalitgharimu fedha kiasi gani.

3.Majadiliano kati ya serikali na kampuni ya Barrick yalitumia fedha kiasi gani.

4.Gharama za kuandaa na kukabidhi nishani kwa wajumbe wa kamati za makinikia ilikuwa ni kiasi gani.

5.Gharama (kama zipo) za kushikiia makontena ya makinikia kwa miezi kadhaa ni kiasi gani.

6.Mazungumzo yanayoendelea, kama kweli yapo, mpaka sasa yamegharimu fedha kiasi gani.

Ni mimi mlipa kodi.
Unauliza kwa " GOOD FAITH " au unaulizaje ?
 
Back
Top Bottom