Gharama halisi za chini kabisa za kumhudumia mgonjwa wa corona aliyezidiwa

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Gharama halisi za chini kabisa za kumhudumia mgonjwa wa corona aliyezidiwa
1. PPE za anayekuhudumia shs 200,000 kwa siku; ni disposable.
2. Oxygen cylinders mbili kwa siku, shs 300,000.
3. Intravenous feeding (chakula kwa njia ya mishipa) shs 200,000 kwa siku.
4. Madawa ya kawaida around shs 2,000 kwa siku.
5. Kitanda (utahitaji wodi yako mwenyewe; shs 50,000.

Jumla 752,000 kwa siku.


Mgonjwa anahitaji kukaa hospitali kwa angalau wiki mbili sawa na Tsh.10,528,000 na haijulikani kama utapona.

NDUGU MTANZANIA ACHANA NA UBISHI WA AJABU AJABU,VAA BARAKOA.
NAWA MIKONO EPUKA MISONGAMANO NA KAA MBALI NA WATU TUMIA SANITIZA


Wachangaji wa hela hii hawapo
 
Back
Top Bottom