Ghana na Gambia ni mfano kwa nchi za kiafrika katika election

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Huu ndio ungwana katika siasa kukubali kushindwa na kuachia madaraka bila kutumia hiba au nguvu za kijeshi na vyombo vyengine vya dola.

Ustarabu huu wa ku hand power ccm hatuna Tanzania.

Raisi wa Gambia akimpelekea salamu za shukurani mridhi wa kiti chake raisi mtarajiwa.




Raisi mpya mtarajiwa wa Gambia

IMG_4566.jpg


Uchaguzi kwa Tanzania ni mafaa

Mara nyingi ukitokezea uchaguzi Tanzania basi ndio mafa kwa wananchi zidi ya utumiaji mabavu wa chama tawala cha ccm na kufanya watu kuishi kwa hofu kutokana na wananchi kupigwa na vyombo vya dola na kusababisha watu kuuliwa na wengine kupata vilema vya maisha na kunyanganywa mali zao.

Raisi wa Gambia kaheshimu willing ya wananchi wake na hii ndio tunasema raisi mwenye kujali wananchi wake na kuheshimu maamudhi ya wananchi na kuona hakuna mwenye hati miliki ya nchi zaidi ya wananchi .
 
Tanzania mwaka Jana nilifanya Uchaguzi huru na haki kwa kumchagua Kiongozi anayepigania maslahi ya Nchi yake na ambaye hakujiandaa miaka mwingi wala kuutafuta Urais kwa nguvu!
 
Back
Top Bottom