Ghana na Gambia ni mfano kwa nchi za kiafrika katika election


Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
1,871
Likes
781
Points
280
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
1,871 781 280
Huu ndio ungwana katika siasa kukubali kushindwa na kuachia madaraka bila kutumia hiba au nguvu za kijeshi na vyombo vyengine vya dola.

Ustarabu huu wa ku hand power ccm hatuna Tanzania.

Raisi wa Gambia akimpelekea salamu za shukurani mridhi wa kiti chake raisi mtarajiwa.Raisi mpya mtarajiwa wa GambiaUchaguzi kwa Tanzania ni mafaa

Mara nyingi ukitokezea uchaguzi Tanzania basi ndio mafa kwa wananchi zidi ya utumiaji mabavu wa chama tawala cha ccm na kufanya watu kuishi kwa hofu kutokana na wananchi kupigwa na vyombo vya dola na kusababisha watu kuuliwa na wengine kupata vilema vya maisha na kunyanganywa mali zao.

Raisi wa Gambia kaheshimu willing ya wananchi wake na hii ndio tunasema raisi mwenye kujali wananchi wake na kuheshimu maamudhi ya wananchi na kuona hakuna mwenye hati miliki ya nchi zaidi ya wananchi .
 
Isalia

Isalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
1,002
Likes
141
Points
160
Age
40
Isalia

Isalia

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
1,002 141 160
Mbona tanzania ndio nchi ya mfano katika afrika au kushinda mpinzani ndio kigezo,
 
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
3,861
Likes
1,754
Points
280
Age
49
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
3,861 1,754 280
Tanzania mwaka Jana nilifanya Uchaguzi huru na haki kwa kumchagua Kiongozi anayepigania maslahi ya Nchi yake na ambaye hakujiandaa miaka mwingi wala kuutafuta Urais kwa nguvu!
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
18,044
Likes
11,067
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
18,044 11,067 280
Ulitaka Mamvi "ashinde" ingawa alishindwa?
 

Forum statistics

Threads 1,273,313
Members 490,351
Posts 30,477,748