Ghana: Mwanamke afungua akaunti feki ili kupima uaminifu wa 'boyfriend' wake, apewa jibu la kushangaza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Baada ya kufungua akaunti hiyo feki, Mwanamke huyo alianza kuwasiliana na mpenzi wake na kumhoji maswali mbali mbali kuhusu maisha yake ya mahusiano

Katika hali iliyomshangaza Akosuah May ambaye ni muuguzi, Mwanaume huyo alimjibu kuwa mpenzi wake alifariki miezi miwili iliyopita

Kufuatia jibu hilo, Akosuah aliamua kuipeleka hoja hiyo katika ukurasa wake wa mtandao wa Twitter ambako wachangiaji walimshangaa kwa kufungua akati feki ili kumchunguza mpenzi wake

Mmoja wa wachangiaji aliandika kuwa, inawezekana Akosuah pia sio mwaminifu katika uhusiano huo


=======

A woman who created a fake online account to chat up her own boyfriend anonymously was shocked when he responded that his girlfriend had died.

Nurse Akosuah May, from Accra in Ghana, tweeted her dismay and racked up over 152.9K likes.

'I created a fake account and started chatting my boyfriend, he told me his girlfriend just died two months ago,' she wrote on Twitter.

17220394-7349699-image-a-12_1565689585941.jpg

But instead of giving sympathy, many people were quick to let the woman know that she shouldn't have lied herself.

Another person said that 'catfishing your own partner already shows a lack of trust in the relationship,' adding that the situation was 'pretty messed up on both sides.'

Attempting to look on the bright side, a man responded to the woman's tweet saying: 'Thank God he acknowledged you to an extent. Some will say they don't have at all.'

'Wait so is he wrong for cheating or is she crazy for baiting her own man into cheating?' asked another.

Some people even suggested that the situation might be even more complex, involving another woman.

'Plot twist: maybe he wasn't talking about you,' wrote Steven Igbowke.

Another user called Cessa tweeted: 'Well, maybe she died two months ago, how are you so sure he’s referring to you.'

17201444-7349699-image-a-5_1565643238275.jpg
17201446-7349699-image-a-4_1565643232043.jpg
17201448-7349699-image-a-6_1565643242625.jpg
17201450-7349699-image-a-7_1565643246070.jpg
17201456-7349699-image-a-3_1565643222972.jpg
 
Ndo dawa yake haya mambo yakupimana ndo nn Makonda naye anatujaribu atakutana nambo ya ajabu wajane na wagani kibao
 
Back
Top Bottom