Ghana: Marehemu atengenezewa Jeneza linalofanana na Uume wa Mwanadamu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,388
3,914
Raia kutokea nchini Ghana aliyekuwa Anajiuza (malaya) alifariki. Na hapo familia yake iliamua kumtengenezea jeneza linalowakilisha kitu anachokipenda Zaidi hapa duniani.

Unaonaje? Hii ikija kama sheria Bongo 🤦🤣🤣😂

===

Outrage as deceased gets buried in penis-shaped coffin

A group of mourners somewhere in Accra have taken their treatment given to the dead to bizzare levels.

A video of the mourners carrying their deceased relative in a penis-shaped casket has shaken social media to its core.

The funeral grounds of the yet-to-be-identified decease was filled with, not only well-wishers but bystanders who wanted to catch a full glimpse of the special and giant’penis coffin’.

Slay Queen in a gbola-shaped coffin

Mourners, both young and old filled past the casket which has been laid as they looked on in either amazement or fear.

It is not particularly clear why the deceased was being accorded the particular treatment of being buried in a ‘dick-shaped coffin but it is a common practice in parts of Ghana to bury people in caskets that shows their lifetime professions.


Per the language in the background, the funeral is believed to have happened somewhere in the heart of Accra.

The Greater Accra region is known for resting mortal remains in such caskets with many bodies getting buried in fish-shaped coffins, for instance, if they worked as fishermen.
The video has gotten many people wondering what their caskets would look like should they transit to eternity.

IMG_20200724_084244.jpg
IMG_20200724_084250.jpg
 
Kama ni kumdhalilisha kwanini wasimchongee lenye sura ya mkono wa sweta kabisa?

Sasa hilo hadi mshono wa ngariba unasomeka, mbona ni la kistaarabu sana tu, hauoni hata watu hawana muda nalo kulichabo?
 
Katika Hali ya isiyo ya kawaida mwili wa kijana mmoja aliyekutwa na umauti kifuani Kwa mwanamke mmoja walipokuwa wakifanya mapenzi huko Ghana umehifadhiwa katika JENEZA lililo na umbo la UUME.

Hii imefanyika kama ishara ya kutambua kile alichokipenda maishani mpaka kikapelekea yeye kukutwa na mauti.

Kijana huyo alikua akisifika Kwa kupenda NGONO na mara kadhaa alijinasibu kuwa fundi asiyekua na mfano katika sekta hiyo Hali iliyopelekea kuchongewa jeneza hilo Wakati WA kuzikwa kwake.
772783588.jpg
2021071583.jpg
 
Back
Top Bottom