GHANA KUTENGENEZA VIFAA VYA KIVITA KAMA ROBOTI MBADALA MIFUPA

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
si ajabu kama vipaji tunavo vicheka tukazidi kuvipeleka gizani.kwa ghana ni tofouti na nchi za afrika kiufupi.
historia kiufupi.
kantanka ni kampuni ambayo ilianza kama mbengu kuanza kujitengenezea magari yake na kufikia hata kusimama na makampuni makubwa ambayo kwa sasa dunia nzima ina baki kuangalia ghana kama nchi ambayo hipo kwenye teknolojia ya juu.

kampuni ya kantanka baada ya kufanikisha kwenye teknolojia ya magari.sasa imekuja na teknolojia ambazo unaweza kusema ni sinema lakini si sinema,teknolojia ambazo mpaka sasa kuna usiri mkubwa na jeshi la ghana na baazi ya vifaa ambavyo vimejaribu kuwa kwenye maonyesho kuonesha nao wapo vipi.
IMG_20190110_184727_755.jpeg
IMG_20190110_184727_754.jpeg
download-31.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamejitahidi lakini kuna version nyingi za haya makitu. Hebu gugo army exoskeleton uone mambo
Screenshot_20190110-185523.jpeg


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom