Ghafla:: Wezi wavunja nyumbani kwa askofu desmond tutu akiwa msibani

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
[h=3]WEZI WAVUNJA NYUMBANI KWA ASKOFU DESMOND TUTU AKIWA MSIBANI[/h]

Askofu mkuu mstaafu wa kanisa Anglikana Afrika ya kusini, Desmond Tutu ©standard
Polisi wamesema wizi huo ulifanyika wakati bwana Tutu akiwa katika ibada ya Nelson Mandela Mjini Johannesberg.
Aidha wameelezea kuwa uvamizi ulifanyika nyumbani kwake mjini Cape Town Ahamisi jioni baada ya kutoa hotuba katika ibada ya Mandela siku hiyo.Inaarifiwa Tutu aliibiwa vitu vyake wakati akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuaga Hayati Nelson Mandela siku ya Jumanne.
Ibada hiyo ilifanyika katika uwanja wa FNB mtaani Soweto.
Wizi na uvamizi wa nyumba za watu ni jambo la kawaida nchini Afrika Kusini ambako visa vya uhalifu viko juu sana.
Chanzo BBC SWAHILI


KUTOKA; Gospel Kitaa.
 
Wezi nao ni watu kama wengine wanakuwa na mahesabu yao
hata Nyumbani kwa Madiba wanaweza papigia mahesabu pia
Siku hizi huku kwetu misibani ni balaa tupu,hakuna kumwamini
mtu.
 
Back
Top Bottom