Ghafla:: Wezi wavunja nyumbani kwa askofu desmond tutu akiwa msibani


hasason

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
1,558
Likes
811
Points
280
hasason

hasason

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
1,558 811 280
[h=3]WEZI WAVUNJA NYUMBANI KWA ASKOFU DESMOND TUTU AKIWA MSIBANI[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Askofu mkuu mstaafu wa kanisa Anglikana Afrika ya kusini, Desmond Tutu ©standard[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Polisi wamesema wizi huo ulifanyika wakati bwana Tutu akiwa katika ibada ya Nelson Mandela Mjini Johannesberg.
Aidha wameelezea kuwa uvamizi ulifanyika nyumbani kwake mjini Cape Town Ahamisi jioni baada ya kutoa hotuba katika ibada ya Mandela siku hiyo.Inaarifiwa Tutu aliibiwa vitu vyake wakati akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuaga Hayati Nelson Mandela siku ya Jumanne.
Ibada hiyo ilifanyika katika uwanja wa FNB mtaani Soweto.
Wizi na uvamizi wa nyumba za watu ni jambo la kawaida nchini Afrika Kusini ambako visa vya uhalifu viko juu sana.
Chanzo BBC SWAHILI


KUTOKA; Gospel Kitaa.
 
O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
208
Likes
0
Points
0
O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
208 0 0
Wezi nao ni watu kama wengine wanakuwa na mahesabu yao
hata Nyumbani kwa Madiba wanaweza papigia mahesabu pia
Siku hizi huku kwetu misibani ni balaa tupu,hakuna kumwamini
mtu.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,016
Likes
5,334
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,016 5,334 280
sasa wezi hao Ndio kuomboleza gani huko ....!.
 
C

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
416
Likes
10
Points
35
C

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
416 10 35
Poleni. Nipeni email ya huyu askofu wetu nimtie moyo.
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,548
Likes
1,883
Points
280
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,548 1,883 280
Kufa kufaana!!!
 

Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941