Ghaddaffi alimsaidia Idd Amin kuvamia Tanzania...

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Kwa wale wenye umri kama wangu watakumbuka vita Tanzania iliyopigana na Idd Amin baada ya majeshi ya Uganda kuvamia sehemu za kaskazini magharibi ya Tanzania. Ikumbukwe kuwa, Ghaddafi alituma majeshi kumsaidia Idd Amin katika uvamizi huo. Hata hivyo TPDF iliweza kuwapiga vibaya sana na kuwateka wengi wa wanajeshi wa Libya, ambao walirudishwa kwao. Chini ni habari kutoka gazeti la Uganda:
attachment.php



Gaddafi in Uganda looms both large and small; there is the conspicuous and the not-so-conspicuous. There is the grand mosque and the palace, the street and the fuel outlets, the bank and the housing conglomerate. Then there is the mass grave. In a little clearing on the edges of Budo hill, 12km east of Kampala, lie the remains of two dozen or so Libyan soldiers, victims of the misadventures of Muammar Gaddafi. They were killed in battle, having been sent to Uganda as part of an expeditionary force to save Idi Amin's regime in early 1979.

As Amin's forces beat a hasty retreat from the southern frontline in January, with the Tanzanian army and the Ugandan rebels pushing hard, the Ugandan President called for assistance from Tripoli. Bernard Rwehururu, an officer in the Uganda Army, records in his book Cross to the Gun that the so-called Suicide Regiment had been tasked with defending Masaka town in an axis that covered Mutukula Road, Mbarara Road and Bukakata-Nyendo Road. The enemy was advancing towards Kalisizo, when Gaddafi sent his troops. They were desert commandos, sent to fight in the tropical environment of Masaka. What happened next was a debacle.

"The arrival of the Libyan desert commandos was as surprising as it was annoying because we had made it all along clear to Amin and the entire Army top brass that all we needed was artillery fire power to neutralise the enemy's Katyusha and not the personnel. Communication was the biggest problem. They could neither communicate in English nor Swahili. Attempts to use Nubian which is more like broken Arabic hit a dead end because they could not understand the dialect. We resorted to communicating by hand.

"Another problem was in the dressing and the arms that the Libyan commandos opted to use. Their clothes were clearly not for jungle warfare. Instead of arming themselves with assault rifles like G3s and AK47s, they had light arms like Uzi guns and a wide range of machine pistols. We did not have any way of informing them that their clothes and arms were going to work against them, so we simply let them go to the front. They joined our forces that were waiting for the enemy in Kalisizo. The enemy descended upon the area in full force. The battle was hot for both our troops and the Libyans, who suffered because of their failure to comprehend withdrawal orders issued in Swahili.

"The following morning when some of them came back to Masaka after the fall of Kalisizo, they were a sad sight. Some were dead and many of them were injured. It was a pitiful scene watching those who were lucky to escape without any injuries tearfully carrying their wounded and dead colleagues off their small trucks," notes Rwehururu.

A month or so later in late March, as they retreated towards Kampala, the Libyan commandos took up a strategic position on Budo hill, that had a 360 degree view of Kampala, Entebbe and Mpigi. They set up camp just outside the school fence of King's College Budo. The school authorities had barely evacuated the student community, and the rest of the hill's population. It is here that the advancing forces of Tanzanian troops and Ugandan exiles engaged them in battle days before Kampala fell. When the school re-opened in June, the graves were still fresh, though the strategic position had been taken over by the victorious Tanzanians, who then co-existed with the school population.

When Amin took power in Uganda in 1971, he had the backing of, amongst other Western powers, the Jewish State of Israel. Gaddafi, who had also ascended to power through a military coup two years before, set about making his mark in Africa. He sponsored a number of countries to break ties with Israel. When Amin expelled the Israelis in 1972, the Libyans came in to fill the void.

Henry Kyemba relates Amin's urgent need for cash in early 1972. He outlines, in his regime-defining book, A State of Blood that: "Britain always wanted feasibility studies before funds were allocated (to Uganda). Similarly, the Israelis gave serious consideration to new ideas strictly on merit. That was not the kind of money Amin wanted. He saw his chance while on a state visit to West Germany in February 1972.

Shortly before his return he decided to visit Gaddafi. Since he was flying an Israeli jet, many (Ugandan) ministers were shocked at the prospect of his dropping in on an extremist Arab dictator, but he went, met with Gaddafi, and received promises of massive financial and military aid. It was an attractive prospect for Gaddafi as well, for he was suddenly presented with an opportunity to have Israel thrown out of an African country". Thus began an enduring love affair between Gaddafi's Libya and Uganda.
 

Attachments

  • idd amin.jpg
    idd amin.jpg
    47.7 KB · Views: 1,086
Na mjerumani aliwachinja mababu zetu kwenye vita va majimaji.
Mwingereza akatukoloni.
Sasa je kati ya hao, mwingereza, mjerumani na libya ni nani anayefaa?.
By the way, tuliwahi kumuunga mkono savimbi kule angola, je tukishambuliwa angola nayo ilipize kisasi?.

Bila kusahau pia, kwamba tumewahi kusaidiwa na nigeria kipindi wanajeshi walipoasi, lakini mbona wao walipokutana na msukosuko wa jimbo la biafra kujitenga, tukawasapoti waasi badala ya serikali?.

My point is: Visasi havifai katika country relations, inabidi taifa lisimamie haki, maana leo kwao kesho kwako!
Na ishu ya libya siyo ghadafi, mbona ghadafi bado yupo hai tu, ilhali watu zaidi ya 30000 wameuawa?, ishu ni uhuru wa libya na afrika kiujumla!. Hata leo ghadafi akiuawa, doa limeshawekwa katika jamii ya libya, je sisi kama taifa tunafaidika na nini katika hilo?.
 
Na mjerumani aliwachinja mababyu zetu kwenye vita va majimaji.
Mwingereza akatukoloni.
Sasa je kati ya hao, mwingereza, mjerumani na libya ni nani anayefaa?.
By the way, tuliwahi kumuunga mkono savimbi kule angola, je tukishambuliwa angola ilipize kisasi?.

Bila kusahau pia, kwamba tumewahi kusaidiwa na nigeria kipindi wanajeshi walipoasi, lakini mbona wao walipokutana na msukosuko wa jimbo la biafra kujitenga, tukawasapoti waasi badala ya serikali?.

My point is: Visasi havifai katika country relations, inabidi taifa lisimamie haki, maana leo kwao kesho kwako!
Na ishu ya libya siyo ghadafi, mbona ghadafi bado yupo hai tu, ilhali watu zaidi ya 30000 wameuawa?, ishu ni uhuru wa libya na afrika kiujumla!. Hata leo ghadafi akiuawa, doa limeshawekwa katika jamii ya libya, je sisi kama taifa tunafaidika na nini katika hilo?.

Gamba laNyola hakika Umenena yale yaliyo sawia.Kamwe hakuna mtu atasimama kupinga ukweli huuzaidiya kuukimbia na kuendelea kushadadia visasi na roho mbaya ambayo wenzeku huchukulia uzaifu huu kutuburuza kwa maslahi ayo binafsi
 
Nakumbuka nilisoma kwenye gazeti la "Africa Now" nafikiri mwaka 1985 ile, Ghadafi alihojiwa kwa kirefu na mpaka leo nakumbuka maneno yake kuwa" At that time we wer young and naive (to support Amin), we have mature now and i ghave already apologgised to Nyerer....", kama kuna mtandao una archive ya magazeti ya Africa Now, utakuta maneno hayo au yanayoshabihiana nayo.
 
Nakumbuka nilisoma kwenye gazeti la "Africa Now" nafikiri mwaka 1985 ile, Ghadafi alihojiwa kwa kirefu na mpaka leo nakumbuka maneno yake kuwa" At that time we wer young and naive (to support Amin), we have mature now and i ghave already apologgised to Nyerer....", kama kuna mtandao una archive ya magazeti ya Africa Now, utakuta maneno hayo au yanayoshabihiana nayo.


Nyerere na Ghadafi walishayamaliza zamani sana, kwa wale wanaokumbuka kuna mkutano mmoja wa OAU ulikuwa unafanyika Libya kati ya 1982- 1984 mataifa mengi ya Afrika yalisusia. Nyerere alihudhuria mkutano ule. Viongozi hao walisameheana kindugu na ninaamini kuwa Nyerere ameondoka duniani bila kinyongo na Muamar Ghadafi.

Nyerere hakuwa na mawazo ya hovyo hovyo kama wengine wanaotaka kutuamisha hapa. Nyerere alijua utu wa Mwafrika ni nini na angekuwepo leo angechukua hatua ya kulaani nchi za Magharibi kuivamia Libya.
 
Baadhi ya watzanzania walisahau, sijui walikuwa hawajui, kuwa Gadaffi alitoka huko kaskazini akaja Afrika Mashariki kumsaidia nduli Amin ili atupige na kuteka sehemu ya Nchi yetu. Hivi walikuwa hawajui histoaria Au waliona alichofanya Ni Cha kiungwana.
 
kama nyerere alivyotumia uchumi wa tanzania tukala ugali wa njano ili kumrejesha rafiki yake obotte madarakani ambaye alikimbilia ikulu ya Dar es salaam
 
Baadhi ya watzanzania walisahau, sijui walikuwa hawajui, kuwa Gadaffi alitoka huko kaskazini akaja Afrika Mashariki kumsaidia nduli Amin ili atupige na kuteka sehemu ya Nchi yetu. Hivi walikuwa hawajui histoaria Au waliona alichofanya Ni Cha kiungwana.

....sijawahi kumshabikia marehemu gadaffi hata mara moja..lkn kwa ambao waliokuwa wakimshabikia gadaffi, hawakufanya kosa, na hoja kuwa alimsaidia fashist haina mshiko kwa sababu mwaka 1980 wakati wa mkutano mkuu wa viongozi wa oau ambao haukufanyika kutokana na idadi ya wajumbe kuweza kuendelea na kikao kutofikiwa (viongozi wengi walimsusia kikao), gadaffi alifanya mazungumzo na mwalimu na waandishi na kukiri kuwa amini alikuwa ndio tatizo lililopelekea vita na jamhuri ya muungano, na akaungama kuwa ilikuwa ni kosa kwa libya kumsaidia fashist..msamaha wa kidiplomasia, na mwalim (of course) kwa niaba yetu, alimsamehe na kuwarejesha askari wa libya waliokuwa wamekiona kivumbi chetu...!
 
Alikumbatiwa na waislam kwa kujenga misikiti kama ule wa dodoma nk. Hivi kama siyo wehu utamkumbatia mtu alimpa support Idd Amin, alimpa mabomu, bunduki, risasi, ndege, wanajeshi na pesa ili kuuwa ndugu zetu huko Kagera. Watanzaniia tulilaaniwa kwa kukosa maarifa ndo maana tupo hivi!
 
kama nyerere alivyotumia
uchumi wa tanzania tukala ugali wa njano ili kumrejesha rafiki yake
obotte madarakani ambaye alikimbilia ikulu ya Dar es salaam

Ha ha ha! hilo hawataki kulisikia kabisa! na uwaulize kosa la Idd Amin ni lipi? hawana jibu muafaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom