Wakati wananchi wote ulimwenguni masikio yao yote wametega huko libya dhidi ya waasi wanao msumbua ghadaphi bila kosa, je mahamuzi aliyo fanya Rais wa zimbambwe Robart mugabe kumtimua balozi wa libya kwa kosa la kushusha bedera inayo tambulika,na je Waziri wa mambo ya nje bwana Benardi Membe kumuita balozi wa libya kwa kosa hilo je hawa wawili wana makosa gani?. na pia nashukuru waziri membe kuliona hilo kwani ghadaphi mambo yake yalikuwa makubwa na mazuri tumeshuhudia Rais wetu akiadhimisha sherehe za mwezi mtukufi kwenya msikiti wa msaaada wa ghadaphi. Swali langu sasa hawa waasi wanaomnyanyasa ghadaphi wanajuwa wanacho kifanya na kama hawajui tuwasaidie je? naitaji mchango wenu