Ghadaph wasamaria wema tuko nyuma yako kwa sala endelea kupambana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ghadaph wasamaria wema tuko nyuma yako kwa sala endelea kupambana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msoviet, Sep 2, 2011.

 1. m

  msoviet New Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wananchi wote ulimwenguni masikio yao yote wametega huko libya dhidi ya waasi wanao msumbua ghadaphi bila kosa, je mahamuzi aliyo fanya Rais wa zimbambwe Robart mugabe kumtimua balozi wa libya kwa kosa la kushusha bedera inayo tambulika,na je Waziri wa mambo ya nje bwana Benardi Membe kumuita balozi wa libya kwa kosa hilo je hawa wawili wana makosa gani?. na pia nashukuru waziri membe kuliona hilo kwani ghadaphi mambo yake yalikuwa makubwa na mazuri tumeshuhudia Rais wetu akiadhimisha sherehe za mwezi mtukufi kwenya msikiti wa msaaada wa ghadaphi. Swali langu sasa hawa waasi wanaomnyanyasa ghadaphi wanajuwa wanacho kifanya na kama hawajui tuwasaidie je? naitaji mchango wenu
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  anza na boliti lako halaffu ndio umalizie kijiti cha mwenzio..
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pamoja na yote hayo we Jua kuwa Gadafi is finished.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Leo ndio nimepata tafsiri nzuri ya waislamu kwamba mtu mzuri ni yule anaejenga misikiti!!,......tukiwa na raia kama huyu wakafikia idadi ya 30% ya Watanzania wote basi tusahau kufanya mageuzi ya kiuchumi. huyu ni mfu ingali yu hai.
   
 5. JMC prod

  JMC prod Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ts n0t eneo lake.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unamsaport mtu anayetaka kukaa madarakani milele na akitoka ampe mwanaye kweli akili kila mtu anazake waacha apoteee gadafi mpuuzi huyu!
   
 7. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unfortunately Gadhafi is done.
  As much as you like him, he's old news and history now.
  He'll continue to record his messages on the tapes to be aired now and then just like Osama. Eventually CIA will be able to capture him just like what happened in Abbottabad. One thing I know is that CIA will not toss his body in the Mediterranean sea. He'll be handed to the Libyan interim government to be sentenced to death by hanging like Saadam
   
 8. E

  Estyzo Senior Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Gadafi hana jpya kwa walibya angekuwa na akili angejiuzuru mapema lakin sasa asubiri kuabishwa zaid na misikiti sio ktu.
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Umekosea jukwaa. Hii thread ipeleke jukwaa la siasa.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Crap hizi hazihitajiki jukwaa la siasa, mahala pake hasa ni jukwaa la kimataifa.
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hapa Sijui nimepotea njia au? ''niko hahe!!! niongee kihindi pia
  Nijuavyo mimi Gaddafi anapumulia Machine iweje mtu anasema yupo nyuma yake ni kwamba atashinda au?
  Au Mtoa Post ni Membe kiaina?
   
Loading...