GF anataka NIMFULIE CHUPI yake, mmmmhhhh.....!!!!!!!!

mimi sipo comfortable,mwanamme anifulie chupiu,bora anipikie kuliko kunifulia chupi. chupi ni kitu kidogo si cha kuroekwa,ukimaliza kuoga,unafua mara moja.hivi kuna wanawake wanaroeka chupi?
 
Mimi sioni cha ajabu kufua chupi ya mkeo!!!!! Mbona yeye anafua zako? Ni kitu cha kawaida wala sioni uajabu wowote. Mzee fua acha kuchelewa.
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

We nae acha kushangaza watu, sasa kufua chupi kunakushangaza nini? Yani we akufulie aafu wewe unaona ahaaa, unachekesha sana na haufai kuwa mume kabisaa labda uache huo mfumo dume wako, fua, pika, ogesha then usimwambie mtu. Shiiiii!
 
mama mcharuko vipi tena
 
hujaelewa nafua uliyovaa nakupa mpya nimekununulia ndo wavaa wewe

hapo umenena,hayo ndo mapenzi,maana mimi kukufulia wewe ni kama wajibu wangu ila wewe kunifulia unaongeza chachandu kny mapenzi,,,haya fanya fasta
 
Heri ya wazungu na watu wenye fedha wao wanafua kwa machine, lakini kumbuka mwanamke akiomba hiki ukapoteza msimamo ule U-Adamu wako basi ujue ni mwanzo wa kukwambia ufanye vingine vya kipumbavu.
 
We nae acha kushangaza watu, sasa kufua chupi kunakushangaza nini? Yani we akufulie aafu wewe unaona ahaaa, unachekesha sana na haufai kuwa mume kabisaa labda uache huo mfumo dume wako, fua, pika, ogesha then usimwambie mtu. Shiiiii!

Mamushka nisamehe, mm najua kupika, kumshirikisha in my bussiness, kazi, on bed utakimbia nakwambia my GF huwa ananena lugha gani sijui, ila la kufua chupi silijui ndio najua sasa, vipi la kuvaa Mamushka? ila akiwa period wallaah sifui
 
ukifua tu tunakunyang'anya kadi!

Thanks mkuu, but members here put me so much under pressure nifue, ni ww tu mkuu umesema nisifue, na huo ndio msimamo wangu hadi nakuja
hapa jamvini, na najua hawa wote ni CDM machachari like i do, kweli i am on cross road right now, mapenzi bana, ila sasa nitamwambia my GF
mambo ya kunitest test aache maana soon namuoa, thanks mkuu
 
Whatever you can do to your wife to be, naona mnaelekea kuoana, so mkiwa mpo karibu kiasi hicho why worry to wash her underwears,?
na huo ndio ukubwa, hii issue ndogo mfulie very simple na nahisi anakupenda sana
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

Mjomba mapenzi hamna kinyaa, na kama hataulambi chumvichumvi basi usipofanya ataomba msaada kutoka nje usilalamike. haya kazi kwako wanalamba hadi visigino
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

Kaka wewe chumvini huendi?
 
Mamushka nisamehe, mm najua kupika, kumshirikisha in my bussiness, kazi, on bed utakimbia nakwambia my GF huwa ananena lugha gani sijui, ila la kufua chupi silijui ndio najua sasa, vipi la kuvaa Mamushka? ila akiwa period wallaah sifui

Ayaaah, yaani akiwa period ndio unatakiwa hata umwombe hizo chup* umfulie, wenzio wanaenda chumvini wakati wa period wewe unaona kinyaa kufua chup*. Embu acha utoto bana, fua hivyo vyupi halafu usije tena hapa jamvini kulialia!
 
Kaka wewe chumvini huendi?
mkuu
Chumvini inataka usafi wa hali ya juu na huwa lazima nianzie huko, we are both soooo clean, ila during period kweli hapa atanisamehe lazima na yy anionee huruma bana alaaa
 
Back
Top Bottom