GET YOUR OWN FREE WEBSITE !(anyone can have a website) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GET YOUR OWN FREE WEBSITE !(anyone can have a website)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mkimagi, Mar 25, 2010.

 1. M

  Mkimagi Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana forum !
  Tengeneza family website ,business,charity and even blog at a 31% trade discount !
  Wasiliana na sisi at:
  tzproducts@gmail.com
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pls refer to the topic of your post. 31% does not sound like free to me!
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  31% dicsount? what is the real price there?
   
 4. C

  Chongowela Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah, since when does anything free have a discount?!
   
 5. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkimagi, rekebisha tena thread yako urudi upya.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,080
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Kama unataka kuitangaza service yako
  hiyo ya kutengeneza website ni lazima uonyeshe bidhaa
  zako zikoje.

  Tengeneza hata ka jpeg image ka template ya website
  uliyo tengeneza halafu u-upload http://imageshack.us ili
  watu waone kazi yako.

  Pili ili uweze kutuonyesha uko serious na service yako
  lazima uwe na website, hapa simaanishi free hosting
  kama blogger au wordpress. Nunua ka domain hata kama
  ni .info ya $2.99 kwa mwaka toka http://namecheap.com.
  Watu wengi wala hawajui gharama ya top level domain.

  Pia ni lazima uwe savvy marketer unapofanya mambo haya...
  tengeneza ka blog ili uwe unatoa tips, tueleweshe
  akina sisi umuhimu wa kuwa na website.

  Usiishie kwa wabongo tuu kama unataka ku-make
  REAL MoNEY kama $__________ a month jiunge kwenye
  website za kimataifa ambazo watu kama sisi huwa
  tuna post jobs ili watu wenye vichwa vyao watufanyie
  kazi wakati tunapata "pina colada".

  Huu ni ushauri tuu...kutengeza website peke yake
  siku hizi hakulipi kama zamani (90s) kwasababu
  kuna application nyingi za web2.0 ambazo zinarahisisha
  kazi.

  kama unajua ku-code any web programming php/msql na cURL
  au kama unajua perl/python/C/C++/C#/JAVA unaweza kufanya
  maajabu ndugu yangu. kwasababu watu wengi wanahitaji programmers
  ili wawatengenezee scripts za ku-automate wed activities, kama
  kutengeneza tweeter accounts, article poster robot au ku-upload
  Youtube videos n.k

  Hizi ni baadhi ya website ambazo unaweza kupitia ili uone
  wenzako (freelancers) wanafanya nini.

  http://elance.com
  http://scriptlance.com
  http://odesk.com
  http://liveperson.com
  http://project4hire.com
  http://getacoder.com
  http://codingforums.com
  http://odesk.com
   
 7. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  31% of free is ehhh ehh extra free? ama unatulipa kututengenezea website? na tangazi hili liko sehemu mbili, hapa na kwa biashara ndogo ndogo. Hii pia inapaswa kuondolewa kwani sio nafasi ya kazi, sio tender ni ehh ehh Ni Tangazo.
   
 8. m

  mkomba Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Oct 28, 2006
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama ni free kwa 31% tell us its 100% first
   
 9. B

  Boca1 Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ebwanaeeeeeeee umemjibu
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nitengeneze website ya familia? Ili iweje mkuu? Blog is more than enough and its for free!
   
Loading...