Get together party 4 single, widow(er) & divorced, june 2013

Tatizo pacha wangu we Ume-base sana kwenye Pombe wakati mi nime-base kwenye mademu!!
Anyway, we njoo hiyo siku unipe company, then from hapo tutatafuta kiwanja kingine chenye pombe nikupe company pacha wangu asakuta same

pacha hapo hamna kitu ,wewe huoni kutakuwa na wachungaji na mashekhe kumwaga semina za nguvu kukemea maibilisi
 
Lara Moja ...ati too civilised


Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?
 
hahahaaa

sasa hao singles, wafiwa na ndoa wapi na wapi?

huu ni wizi tu, na ni party au semina?
vijana
mna vituko jamanii.
 
sasa mpo single,wajane na divorced,mazungumzo ya kuhusu NDOA YA NINI?na ya tulioolewa ni lini?
 
Ha ha ha azote nyie hamna jipya kwisha habari yenu,kitu singoz pale kati,btw nimekumc shosti
sasa mpo single,wajane na divorced,mazungumzo ya kuhusu NDOA YA NINI?na ya tulioolewa ni lini?
 
Ha ha ha azote nyie hamna jipya kwisha habari yenu,kitu singoz pale kati,btw nimekumc shosti

hamna jipya nyie.mnakutana ma singles ili muachiane contacts,kitakachofuata ni kuoana tu,na mimi nitaandaa get together ya walioana,tule zetu bata.nipo nimejaa tele,nilikuwa naomboleza kifo cha mangwair
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom