Get together party 4 single, widow(er) & divorced, june 2013

Wadau mnakumbushwa Get Together party for Singles, Divorced and Widows itafanyika mwishoni mwa mwezi huu June, 2013, Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 13 Juni, 2013. Kwa sababu ukumbi tuliopata unachukua watu 60 tu. So, ikifika hiyo namba (60) hatutakubali watu zaidi tena. Kumbuka: MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA. Watoa mada watakuwa wafuatao;
1. Viongozi wa Dini ( Waislamu & Wakristo)
2. Wataalamu wa Lishe
3. Madaktari Bingwa wa Uzazi
4. Washauri Nasaha toka AMREF
NB: Kiingilio ni Tsh. 5000/= (kwa ajili ya Chakula & Vinywaji (Maji & Soda...HAKUNA POMBE)
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma sms kwenda namba 0718756418 au ni-PM
Asanteni

kazi kwelikweli, kwa nini umeandika maneno mengi SUMMARIZE Mkuu!
 
Mmetubagua sie wengine? Haya ntaacha pete yangu nyumbani siku hiyo maana mada naitamani.
 
Wadau mnakumbushwa Get Together party for Singles, Divorced and Widows itafanyika mwishoni mwa mwezi huu June, 2013, Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 13 Juni, 2013. Kwa sababu ukumbi tuliopata unachukua watu 60 tu. So, ikifika hiyo namba (60) hatutakubali watu zaidi tena. Kumbuka: MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA. Watoa mada watakuwa wafuatao;
1. Viongozi wa Dini ( Waislamu & Wakristo)
2. Wataalamu wa Lishe
3. Madaktari Bingwa wa Uzazi
4. Washauri Nasaha toka AMREF
NB: Kiingilio ni Tsh. 5000/= (kwa ajili ya Chakula & Vinywaji (Maji & Soda...HAKUNA POMBE)
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma sms kwenda namba 0718756418 au ni-PM
Asanteni

Mi nitakuja kutafuta viburudisho tu. Najua sintokosa kuopoa hao Singles, Devorced e.t.c.

CC: Madame B, bacha, Evelyn Salt, asakuta same & Sumba-Wanga
 
Last edited by a moderator:
jaman Sijaelewa vigezo kwa ufasaha haswa kwenye neno single wasije wakajaa form4 huko, nahic na umri wa washiriki utajwe
 
Ha ha ha,
U-single hauna alama Mkuu Sumba-Wanga!! Tatizo ni kua kila atakaekuja pale anakua assumed yuko single, so anakua ni wa yoyote yule.

Yaani unaweza ukaja nae wewe then akarudi na mimi!!

Duh full migegedo ngoja nisake nafasi na mie nitimbe
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom