Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

Wenzetu wana kitu inaitwa social services au welfare unafahamu hii kitu?
Huyu unayembeza kula mlo mmoja kwa sababu hajishughulishi kosa bado ni la serikali
Kazi ziko wapi? Kilimo kimekufa kifo cha mende Biashara hakuna
***una mtoto aliyemaliza chuo hana kazi mwaka wa tatu sasa utambeza naye wa mlo mmoja?

Hilo ni puuzi puuzi fulani hivi kula kulala halijui maisha halisi huku mtaani
 
Wenzetu wana kitu inaitwa social services au welfare unafahamu hii kitu?
Huyu unayembeza kula mlo mmoja kwa sababu hajishughulishi kosa bado ni la serikali
Kazi ziko wapi? Kilimo kimekufa kifo cha mende Biashara hakuna
***una mtoto aliyemaliza chuo hana kazi mwaka wa tatu sasa utambeza naye wa mlo mmoja?

Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.
 
budget yetu inategemea kiasi gani wafadhili. Maana tusijeanzisha bifu wakati tuna kaa nyumba ya vioo
 
View attachment 1258657

JPM Demeans Donor Relience
PRESIDENT John Magufuli has challenged African leaders to get rid of donor reliance mentality, saying the continent is endowed with abundant resources.

He argued that Africa must now push for economic diplomacy as the basis of cooperation to fast track development.

Dr Magufuli made the remarks in Dar es Salaam at the official opening of the 18th Africa- Nordic Foreign Ministers meeting, themed “Partnering for Sustainable Development.”

He said besides good cooperation and achievements attained between Africa and Nordic countries, there was still opportunity to strengthen cooperation that will benefit both sides.

“Our cooperation has for a long time been centred on donor-recipient affiliation...this kind of cooperation is neither sustainable nor relevant to the current situation. Most of the African leaders are now aware that the fate of our continent is on our hands and the political independence may be meaningless if African nations continually rely on donors economically,” he said.

President Magufuli said that Africa was endowed with abundant resources to help the continent to attain economic independence through cooperation with Nordic countries in trade and investments.

“Africa is rich in marine resources, livestock, natural gas, minerals and tourist attractions, which can be used to improve the continent economy,” he said.

President Magufuli further observed that Africa was also rich in business and investment opportunities compared to Nordic countries but the continent has been lagging behind as Nordic nations attained high level of development.

He said the five Nordic countries with 3.5 million square metres and 27 million people recorded 1.7 trillion US dollars as their combined Gross Domestic Product (GDP) in 2018 while Africa with 1.2 billion population had 2.334 trillion dollars in combined GDP.
He challenged Africa to learn from the Nordic countries, further saying it was the responsibility of African leaders to join forces in managing their resources and developing various sectors like agriculture, mining, forestry, oil, gas, energy and livestock.

Dr Magufuli noted that 30 per cent of suitable agricultural land globally is in Africa, adding that statistics showed that among the leading 10 countries in economic growth, five were African.

“This is an opportunity, which can be used to promote development in Africa.”

He however appreciated the Nordic countries for their invaluable contribution to Africa during the liberation struggles and in areas of health, education and science as well as peace and security related issues.

Norwegian Minister of Foreign Affairs Ine Eriksen Søreide said the Nordic countries remain committed to cooperation with African friends and partners, describing the Africa-Nordic meeting as the manifestation of their progressing bond.

“Development cooperation remains an important part of our relationship...over the past 20 years, our relationship with African countries have broadened, political dialogue, private sector cooperation and multilateral cooperation is now the backbone of our bilateral interactions,” she said.

Ms Søreide said if they were to solve the greatest challenges of their time, they needed more multilateral cooperation.

“Global issues like climate change, terrorism, weapons of mass destruction and communicable diseases go beyond what any single state can manage alone. This meeting is a key opportunity to engage in substantive dialogue between our countries and how to work together to strengthen multilateral cooperation,” Ms Søreide said.
A Picture is Worth a Thousand Words,Ili Pozi la Mawaziri hawa limeniacha natafakari sana, yani kila mmoja alijiandaa kwa moment hiyo with full respect to make history.Kuna something very unique kwenye Picture hii.Mh Rais ana wafuasi wengi wanatamani siku moja wawe nyuma ya viatu vyake katika mataifa yao.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.
Bingwa wa kutukana
Nimekutukana wapi?
Nimekuuliza maswali
Usichanganye mambo
Wewe ndio umekuja na matusi
 
budget yetu inategemea kiasi gani wafadhili. Maana tusijeanzisha bifu wakati tuna kaa nyumba ya vioo
Siku hizi hakuna wa kubembelezwa hatuna shida tena ya kutegemea wafadhili kivile, wenyewe wanakuja kututongoza watukopeshe.

FYI hakuna nchi ambayo haikopi.
 
Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.

Mwiziiiiiii mwiziiiiii jinga kabisa,hamna hela.
 
Bingwa wa kutukana
Nimekutukana wapi?
Nimekuuliza maswali
Usichanganye mambo
Wewe ndio umekuja na matusi

Kwa hiyo umeshindwa kuleta data chacha unalialia kama katoto kalikokosa lawalawa. Ati social welfare! Unafikiri inaanguka kama mvua?
 
Siku hizi hakuna wa kubembelezwa hatua shida tena ya kutegemea wafadhili kivile, wenyewe wanakuja kututongoza watukopeshe.

FYI hakuna nchi ambayo haikopi.

Eti Tunatekeleza kwa fedha za ndani,lipeni wastaafu.
 
Rais Magufuli ametoa ujumbe utakaodumu kwa muda mrefu sana, ingawa inashangaza mno ni namna gani hao wanaojiita wapinzani walivyoridhika na hali ya kuendelea kuomba misaada, hawaamini kama tunaweza kujitegemea, wanakejeli na wanapita kila mahali kushitaki eti tunyimwe misaada, kwani wanaamini bila misaada hatuwezi kama Taifa.

Nampongeza Rais Magufuli kwa kauli hii dhabiti kabisa kwani imetoa direction ya taifa kwa sasa kuwa tunalenga katika kwenda kuwa Taifa linalojitegemea kiuchumi kwa kupitia Rasilimali zake.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Tatizo ni nini?,mbona mnakua waoga kiasi hiki?,kipi alichokosea Magufuli?,kwahiyo tuendeleze utamaduni wa kusaidiwa mpaka palapanda litakapolia?,
Wantanzania ni watu wa ajabu sana
Hakuna kitu cha hatari kwa dunia ya sasa kutofautiana na wazungu kwa kipindi kama hiki ambacho technology wanaimiliki wao. Wanaweza wakakupoteza faster labda uwe utumiii vitu vya technology
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Hata UK, USA na popote pale duniani hawakosekani watu kama hao ambao hawataki kujishughulisha.
Acha mambo ya kishabiki na uongee facts, hekima ni bora sana, ukianza kutetea hata vitu vilivyo wazi hilo ni tatizo
 
Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.
Akalime korosho? ambazo mnamnyang'anya na kutokumlipa? Au alime mbaazi mumeua soko kwa upumbavu wenu?
Mnapenda sifa sana lakini ndio mmeharibu uchumi kiwango cha juu
 
Akalime korosho? ambazo mnamnyang'anya na kutokumlipa? Au alime mbaazi mumeua soko kwa upumbavu wenu?
Mnapenda sifa sana lakini ndio mmeharibu uchumi kiwango cha juu

Uchumi upi wakati GDP ya taifa imeongezeka tangu JPM achukue mikoba! Unaishi nchi gani mwenzetu?
 
Hakuna kitu cha hatari kwa dunia ya sasa kutofautiana na wazungu kwa kipindi kama hiki ambacho technology wanaimiliki wao. Wanaweza wakakupoteza faster labda uwe utumiii vitu vya technology
Madikteta Ya Afrika Hayawapendi Wazungu Kwasababu Yanawalazimisha Kuheshimu Watu Wao, Utu Wao Na Demokrasia.

Ndio Maana Inawataka Wachina Na Warusi Tu.
 
Back
Top Bottom