Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

English nyingi,upuuzi mtupu lipeni mafao ya watu tumechoka story zenu za kijinga jinga,tuna adhirika mtaani huku mkijiongelesha eti reliance sijui nini.

Mlie tu, Chuma kiko Ikulu sasa zile pesa mlizokuwa mnabeba kwenye sandarusi hakuna tena. Ati deni la taifa linakuwa linakuhusu nini wewe ambaye ni hoe hae ambaye huna hata pesa za kujikimu. Umekalia majungu tu.


Jinga wewe unaleta story zako za kufikirika yaani Moody's, S&P ,Fitch etc waje wa-rate credit worthness za majobless na wanakijiji wanaohitaji mikopo.Haya waambie wawa-rate AAA

Lipeni Pensheni/mafao muwe na aibu,mnafanya watu wana aibika mtaani huku mkijifanya eti sisi ni matajiri.

Upuuzi sana.

Wewe una pension gani kama si kuganga njaaa tu? Peleka majungu yako kwa ma ha nisi wenzako.
 
Juzi Ebola imetaka kuingia huyo mumekwenda kuomba hela WHO ya kununua vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi. Condom za kujikinga na maambukizi ya ukimwi hamuwezi kununua kwa hela yenu halafu italeta nye nye nye hapa!!

Wazungu walisema "If wishes were horses even beggars would ride". Tuwe wakweli hizo ni ndiyo za mwendawazimu, kwa Africa kuishi bila msaada.

Tuna viongozi wajinga na wapumbavu sana ndiyo maana pamoja na utajiri mwingi bado hatuna mipango mizuri.

Mobutu Seseseko alijenga Ikulu kikikini kwake Gbadolite pamoja na viwanja vya ndege. Tulimcheka sana kwa vile alipokufa imebakia ni hifadhi ya mijusi na popo.

Huyu Meko naye amejenga uwanja cha ndege kijinini kwake Chatto. Akiondoka madarakani hakuna ndege itatua kule Chato. Halafu ndiyo wanajifanya Afrika inaweza kujitegemea wakati yeye mwenyewe ndiyo kinara wa kufuja fedha kwa mipango mibovu.

Yaani we HuiHui2 ndio mwenye mawazo ya busara umejaa majungu tu na tutakuburuza tu hata kwa kamaba maana uamuzi umekwishafanywa Utakula malalamiko yako na hakuna atakayesikiliza yaani kikaragosi kama wewe. wenzako sasa ivi ni mipango ya 2025 utachubiri sana njomba. kelele za chura hazizuii Tembo kunywa maji. Endelea kuwaabudu hao miungu mtu wenzako kisa wana rangi nyeupe. Pimbi kabisa.
 
Kwa mwendo huu maendeleo ya Watanzania yanakua bila kuwa na mikwaruzo. Wale ambao wanafikiri hii Serikali ilikuwa haijajipanga waote moto kwa mbali. Piga kazi JPM, maana unapeleka Tsunami kwenye miji ya waliokuwa wanakomba utajiri wa nchi hii.
We fala wewe hujui kuwa deni la taiga linakuzwa na hao mnaowaita mabeberu, wewe ni fala lia lia tena linalojopendekeza
 
We jamaa kuna mambo inabidi uwe unakubali tu sio kuona ni lawama. Fanya hata utafiti kidogo ujue muda gani mstaafu anakaa bila kupata mafao yake hata ile pensheni ya mwezi.

Tembelea hata kwenye ofis zao ukutane na wastaafu. Inaudhi sana kama hujawa kuktana na mzee anayefuatilia mafao yake. Hii mifuko unaambiwa haina hela,rejea hata ripot za ukaguzi.
Tatizo kwenye JF of GT kuna vidudumtu kama dua ambavyo huingilia majibu ambapo havijui undani wa kinachoongelewa, ujinga wa dua ni pale anaposema peleka malalamiko NSSF! Kidudumtu hiki hakijui malalamiko siyo hoja, hoja ni kwanini serikali ikope pesa za mishahara ya watu! Haka kadua hakajui hakuna senti ya serikali humo na iache kukopa akiba za wafanyakazi ikakope Benji ambako watalazimika kuzirejesha.
 
Nilipomsikiliza nilicheeeka! Huku serikali yake inakopa senti za NSSF ambazo ni mishahara ya wanyonge waliyowekeza ili wakistaafu walipwe, leo wanyonge wanasotea malipo yao kwani NSSF haina pesa za kuwalipa.
Past tense Dingilai.
 
Huyu sio kwamba hafahamu ukweli bali anafanya propoganda tu hapa.
We jamaa kuna mambo inabidi uwe unakubali tu sio kuona ni lawama. Fanya hata utafiti kidogo ujue muda gani mstaafu anakaa bila kupata mafao yake hata ile pensheni ya mwezi.

Tembelea hata kwenye ofis zao ukutane na wastaafu. Inaudhi sana kama hujawa kuktana na mzee anayefuatilia mafao yake. Hii mifuko unaambiwa haina hela,rejea hata ripot za ukaguzi.
 
Yaani we HuiHui2 ndio mwenye mawazo ya busara umejaa majungu tu na tutakuburuza tu hata kwa kamaba maana uamuzi umekwishafanywa Utakula malalamiko yako na hakuna atakayesikiliza yaani kikaragosi kama wewe. wenzako sasa ivi ni mipango ya 2025 utachubiri sana njomba. kelele za chura hazizuii Tembo kunywa maji. Endelea kuwaabudu hao miungu mtu wenzako kisa wana rangi nyeupe. Pimbi kabisa.
Upungufu wa Akili Kichwani nao ni ugonjwa hatari sawa na UKIMWI na hauna dawa. Pole sana
 

Wewe kalia majungu mambo ya kuongoza Serikali huwezi. Unafikiria unaendesha familia yako? kama hufuati sheria ulie tu ati pensheni ulilipa kiasi gani?

Upuuzi tu nitakua na hamu ya kuongoza serikali ili iweje wkt hata uwezo wa kulipia mafao ya wastaafu sina,oooooh sisi ni matajiri m,tunajitegemea sijui nini.

Lipeni pesa za wastaafu,mnajimwambafai wkt hamna hela yoyote ile.
 

Mlie tu, Chuma kiko Ikulu sasa zile pesa mlizokuwa mnabeba kwenye sandarusi hakuna tena.
Ati deni la taifa linakuwa linakuhusu nini wewe ambaye ni hoe hae ambaye huna hata pesa za kujikimi. Umekalia majungu tu.




Wewe una pension gani kama si kuganga njaaa tu? Peleka majungu yako kwa ma ha nisi wenzako.

Tatizo we shoga unadhani kila mtu anaishi hapa mjini kwa kutegemea kuuza as.s hole,jinga sana.

Eti Mood’s waje waangalie credit worthness za majobless,pumbavu kabisa.

Lipeni hela za wastaafu acheni kujifanya mna hela wkt choka mbovu.

Choko wewe.
 
Sijarahisisha jambo lolote hapo, Serikali hii ilianza kwa wananchi kupewa hati miliki hadi vijijini ili wananchi wengi wawe na umiliki wa nyumba wanazoishi ili wawe na uwezo wa kukopa kwenye ma-benki. Kama hufahamu Credit rating companies hivi sasa inafanyika Tanzania ili kuwawezesha wengi wakope pesa kwenye banking system yetu sio kwa kujuana na flani. Tuache Majungu! Serikali hii inafanya kazi.
Umetoka chuoni utakuwa na dhamana gani ?! Huna shamba wala nyumba halafu banki wakudhamini kwa lipi Dua ?!. Atoe ajira na asibague sijui vya science na arts !!
 
Watanzania tunaofahamu na uelewa mkubwa jinsi JPM alivyoweza kuibadili hii nchi chini ya miaka 5 huko tunakokwenda tutakuwa na afadhali. Kelele za hivi vikuwadi ambavyo vimezoea kupiga debe kwa vikuwadi vyenzao haviwezi kuzuia hii nchi kupiga maendeleo ya uhakika. JPM piga kazi, kwa mwendo huu 2025 Tanzania itakuwa kwenye uchumi wa kati. Asiyetaka ahame nchi.
 
Umetoka chuoni utakuwa na dhamana gani ?! Huna shamba wala nyumba halafu banki wakudhamini kwa lipi Dua ?!. Atoe ajira na asibague sijui vya science na arts !!

Usilolijua ni usiku wa kiza. Cheti chako cha kufaulu kina hadhi labda kama wewe ni wale wale, Je ulipata division gani? Peleka hadithi za Abunuwasi sehemu nyingine hapa tunajadili mstakabali wa taifa la Tanzania. Serikali ikusomeshe bure halafu hata ulichosoma ni sifuri, ulifikiri tunakusomesha ili ututukane kwenye mitandao? Wacha majungu!

Wengine ati wanalalamika tuna kopa pesa kwani tukikopa hizo pesa haturudishi? Huwezi kukopeshwa kama wakopeshaji hawana imani kwamba una uwezo wa kurudisha. Utakopeshwa tu kama una uwezo wa kurudisha. Vile vile hakuna nchi yoyote duniani ambayo haikopi.
 
Back
Top Bottom