Get ready for this after marriage.....

a1a1715da4401c7c3349f3d4c9d577cb.jpg

Kwenye ndoa hakuna sijui baby nikumbatie ili nipate joto lako hayo yanaishia kwenye uchumba.
We jamaa ni muongo snaaa aisee na unavyonekana haujawai kuowa kabisa
Hemu kaa kimya tuachie tuliowa tukae na raha zetu
 
We jamaa ni muongo snaaa aisee na unavyonekana haujawai kuowa kabisa
Hemu kaa kimya tuachie tuliowa tukae na raha zetu
Mkuu nnao,tena wa kwangu hapo alipokaa ktk pic No3 alikuwa akishaamka kama hivyo ananitoboa toboa machoni ili niamke tuanze kucheza.wakati mwingine ni raha ikizidi sana inakuwa kero ila ndiyo uzazi.
 
Kitanda unafikiri hautatengeneza mkuu?utatengeneza but ukikaweka tu kelele mpaka mtaa wa saba na mamaye hatotaka atakwambia acha tu tulale nae nitamuhamisha akishalala,ukizubaa tu unashangaa alarm inakuamsha asubuhi huku umelowa mikojo ya dogo.
 
Kitanda unafikiri hautatengeneza mkuu?utatengeneza but ukikaweka tu kelele mpaka mtaa wa saba na mamaye hatotaka atakwambia acha tu tulale nae nitamuhamisha akishalala,ukizubaa tu unashangaa alarm inakuamsha asubuhi huku umelowa mikojo ya dogo na dogo mwenyewe tayari yupo macho.
Hajawahi Lea hajui
 
Hahaha..! Nimempenda bure mwambie anywe yogurt nakuja kulipa dah
Ha ha ha kwa hilo alinizidi ujanja imebidi nimuache tu alale japo uhuru hakuna, akiona paja mama jifunike, ukikaa hivi mama hujajifunika vizuri aseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom