GET photo editor software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GET photo editor software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by XOXOQY, Feb 25, 2011.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Get simple photo software but 4 great results!u can just visit PHOTO20201.BLOGSPOT.COM
   
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabongo bwana, hata elimu ndogo kama hii hadi umchune mtu pesa. Tuache ubinafsi hata kwenye kutoa elimu, kwa huu ni udhalilishaji kuharubu sura mtu na kumfananisha na mbwa.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndio shiing ngapi kwa hiyo software?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  halafu hataki kuweka mambo wazi mpaka eti apigiwe...
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu hili ni jukwaa la kudicsuss teknolojia sio la kutangza teknolojia. may be ungepeleka huuujumbe kwenye matangazo madogo madogo

  Otherwise andika article tuelewe utalaamu wako juu ya hiyo application kama vile

  • Inaitwaje?
  • inafanyaje kazi na ina features gani.
  • Kama sio phtoshop ina tofauti gani na photoshop
  • Ina operate kwenye enviroment gani ( Minimum requirement)
  • Na kama unauza taja shilingi ngapi
  Otherwise hongera kwa utalaamu wako .
   
 6. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ya kawaida sana. That kind of editing inafanywa hata online FREE! Check this out!!
  [​IMG]
  [​IMG]

  Tupo humu kugawana ujuzi so I suggest uwape wataalamu software ili wakupe ujuzi on how you can improve urself with better softwares e.g GIMP,PS(Photoshop), PhotoScape, etc. Otherwise...not bad.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kugawana au kuwagana?!
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Please reconsider!
   
 9. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  HEY WAKUBWA,MSINIRUSHIE MAWE KIIVO,KWANZA ALIYE suggest MATUMIZI YA ONLINE EDITING nataka kumwambia huo ni UVIVU,HALAFU MIMI NATUMIA SOFTWARE TATU KUKAMILISHA PICHA MOJA,HIVI NIKISEMA NITOE MAELEZO HAPA KILA FEAUTURE NA KAZI YAKE KWA MNAOZIELEWA SOFTWARE ZA PICHA itawezekana kweli?HALAFU MSIWE NA MKONO WA BIRIKA KIIVO,WE KILA SIKU ULE TUUU VYA BULE,JITOLEE SIKUMOJA NA WEWE ULIWE,HALAFU HAKUNA ELIMU NDOGO MJIFUNZE KUJIFUNZA HATA KWA GHARAMA NDIPO MTAONEKANA MNA NIA,MSIPENDE KUTUMIA ONLINE EDITING HIZO NI ZA WASIO NA MIKONO!
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Changia kwanza JF bas
   
 11. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sisemi natumia online editing. What I'm saying ni kwamba unachofanya kinaweza kufanywa na online editing.
   
 12. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wakuu, tuwekeeni basi hata hizo website za kufanyia editing mi naijua www.picjoke.com
   
 13. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mhh unjuaje kama hajachangia au unadhani wote a ambao hawana premium status hawajachangia.

  Je wewe umechangia kwa kutimia ID zako zote za jf ?
   
 14. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  mhhh na wewe naona unajipachat sana. Sasa na alitengenza hizo software unazotumia akikuita wewe kilaza utasemaje?

  Kuhusu

  • kutoa maelezo hapa unaweza kutoa tu labda kama hujui kuelezea na kuandika hilo ni tatizo lingine sio kuwa haiwezekani.. Kuna watu wengine hata wasiojua kuelezea wana akili za copy an paste unaweza kuiga ingawa sio vizuri.

  • Mkono wa birika basi wafahamishe watu ulijifunzia wapi ,chuo gani, na ulitumia shilingi ngapi na wao wakajifunze kujifunza.

  • Usipende kukashifu watu hawana mikono . Nakuambia unaweza kukuta hizo software unazojisifu untumia wewe na hutaki kuzitaja kwenye industry haziko hata kwenye tano bora. Choice ya mtu utumie nyenzo gani inategemea mambo mengi..... Anyway do u mean Siku ukipata ajali ukakosa mikono ndo utatumia online Editing software ?
  Naendelea kukuhimiza kama nia hasa ilikuwa kudaka watu wataokupa mshiko peleka pia tangazo kwenye forum ya matangazo madogo madogo. Otherwise share the knowledge
   
 15. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  THE ISSUE IS'NT THE SOFTWARE IS IN "TANO BORA" OR OTHERWISE THE ISSUE IS IF THE COMBINATION OF THIC SOFTWARE GIVE U AN IMPRESSIVE RESULT!UNAJUA WATU WANASOFTWARE NYINGI ZA PICHA ILA WENGI WAO HAWAJUI KUZITUMIA IPASAVYO HIVYO UTAKUTA MTU ANAHANGAIKA KUTAFUTA SOFTWARE YENYE JINA KUBWA BILA SABABU WAKATI ZILE ALIZONAZO ZINAWEZA ZIKAWA-COMBINED NA ZIKATOA MATOKEO MAZURI KULIKO HIZO ZA TANO BORA!mm cwezi kutoa maelezo hapa kama utanichukia poa tu,sababu kuweka maelezo ya feature za software tatu na maelezo ya feature zake hapa zaidi ya hamsini kwa undani ni vigumu sana!BUT ONE LOVE GUYZ!
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Ok now nimekulewa sasa. Its good
  Dont mind maswali yangu ya kizushi nilikuwa najaribu kukusoma . Now haya maelezo yako hapa nimeyapenda.

  kama ningekuwa nina interest na mambo ya graphics ningekutafuta. Unajua mtu hawezi kuandika tu kitu ukamuamini . Ni kutokana na majibu yake ndo unaweza kujua zaidi.

  PEACE
   
Loading...