Get money frm this mobile application

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
7
Brothers kuna Mobile Application ambayo inaweza kutuma sms kwa watu wengi, Unaweza tafuta Company or any Organisation ambayo unadhani wanaweza kuhitaji service hii kuwapa watu taarifa yeyote then ktk kila sms watakayo tumia wewe utapata Pesa kulingana na makubaliano yetu. Siyo ishu ndogo, We did the same deal kwa watu wa TUWASA (Mamlaka ya maji TANGA)
 
Nami najua kuna kampuni nyingi zinazofanya biashara ya kuuza bulk sms, Tena kwa bei nafuu sana, na off course lazima wakupe software zao. Weka gharama kwa kiasi cha sms tuone.
 
Nami najua kuna kampuni nyingi zinazofanya biashara ya kuuza bulk sms, Tena kwa bei nafuu sana, na off course lazima wakupe software zao. Weka gharama kwa kiasi cha sms tuone.
<br />
<br />

contact details ya local kampuni zinazouza bulk sms please.
 
Back
Top Bottom