Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

Duh Marytina nilikumiss kweli we mdada! Huishi vituko kwa kweli, yaani nilipoona tu thread yako mhhh nimecheka sana. Kila la heri.....kwi kwi kwi
Uda!!!
hiyo sura yako nashukuru mimi si mwanaume ningekuwa naweweseka juu yako
 
kama hao jamaa nao ni wezi sasa unasubiri nini?kuna watu wanazipigia hesabu somwhere angalia usije ukawa shahidi
 
marytina is about to be loaded with cash...marry me for sex please sababu mihela utakuwa nayo
ps.usipohudhuria jf hivi karibuni nitakuwa na assumption mbili:
1.umefanikiwa kupiga mihela ..uko visiwa vya carribean
2.zoezi limefeli unanyea debe
either way iam impressed.
 
Back
Top Bottom