Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

Kumbe yule mchaga ulikuja kumtosa? Otherwise, wala usingekuwa unayafikiria haya ya kuiba.
nilishaainisha tokea mwanzoni kuwa SITOMTOSA Mmassai wangu in any way labda yeye anitose
Mchagaa was just trying to buy me!!!!!!!!!lol
 
kwani max unaweza kuchukua sh ngapi? maana kuna watu wameiba 30 m juzi na wakashikwa walikuwa wawili halafu si upuuzi hii.m 15 si unapata buzi kabisa hapa bongo
max naweza iba 400,000 mara tatu i.e 1200,000 U$
mimi peke yangu nitamhusisha dada yangu mdogo at the end point
 
dada yangu alikuwa na wazo kama lako...akawasiliana na mimi kwa skype juu ya mpango huu.....nikakataa...yeye madai yake ni kwamba: hapo alipo ana uwezo wa kuiba zaidi ya billion moja...na kama akifanikisha ataziweka mbali kabisa na hata akija kukamatwa ataweka mawakili anaweza kutumia million 250 kuendeshea kesi...hata akishindwa akafungwa miaka 5 atatumikia kifungo hicho na akitoka ataweza kuishi vizuri.....leo tena naona thread kama hii hapa na wewe unataka kufanya kama dada yangu....kwa dada yangu nilikataa ...nikamfundisha njia zingine za wizi kuiba hizo pesa taratibu bila kustukiwa na hii na sasa anazitafuna sawasawa japo mpango wake wa kukwapua kwa mpigo nahisi bado upo maana kila nikiongea nae anasisitiza hilo.......

nahisi na wewe kwa sasa unahitaji namna ya kuzikwapua hizo pesa taratibu....lakini kwa mpigo unaweza usifike mbali wakakudaka.......
 
Haijarishi kumuona ni dollar, ngapi cha msingi lazima ujuwe huyu ndio yuko nyuma ya mafanikio ya kina Rostam Aziz, kabla ya wizi wowote huyu utoa ushauri wa kisheria jinsi ya kuiba na kutumia pesa bila mkono wa sheria kukugusa.
Nafikiri umefikia wakati sasa wa kutumia akili kuingiza pesa na sio kutumia maguvu na kubebeshwa mabox tu. kumbuka huu sio wizi, hapa mjini hizi tunaziita Filmeee!!

Mkuu, huyo jamaa ana nyodo na dharau ile mbaya nakumbuka kipindi kile ofisi zake zipo PPF Tower kwenye lift akiwa anashuka haruhusu raia mwingine apande nae lift moja, Bonge la facist, na kwa watu kama mimi tusio na title hatuwezi hata kushika kitasa cha mlango wa ofisi yake
 
Haijarishi kumuona ni dollar, ngapi cha msingi lazima ujuwe huyu ndio yuko nyuma ya mafanikio ya kina Rostam Aziz, kabla ya wizi wowote huyu utoa ushauri wa kisheria jinsi ya kuiba na kutumia pesa bila mkono wa sheria kukugusa.
Nafikiri umefikia wakati sasa wa kutumia akili kuingiza pesa na sio kutumia maguvu na kubebeshwa mabox tu. kumbuka huu sio wizi, hapa mjini hizi tunaziita Filmeee!!

mimi nipo tayari kukaa jela kwa miaka miwili
 
Mara nyingi wanao-take risk ndio wanaofanikiwa go on.
Asikudanganye mtu huwezi kuwa na pesa ndefu bila kurisk, na % kubwa hapa mjini wengi ya wenye mafanikio hawakosi majalada pale mahakama ya kisutu, japo hata ya wizi wa kuaminiwa!!
 
Ukiiba pesa kama hiyo unayosema Tanzania haufungwi ila usipoiba pesa ukaiba vijipesa jua Ukonga yako na utanyea debe tu.
baada ya kuwaeleza mawakili mbinu ntakayotumia wamenieleza uwezekano wa kufungwa ni mdogo au haupo kabisa
na ikitokea nimefungwa ni two years
 
dada yangu alikuwa na wazo kama lako...akawasiliana na mimi kwa skype juu ya mpango huu.....nikakataa...yeye madai yake ni kwamba: hapo alipo ana uwezo wa kuiba zaidi ya billion moja...na kama akifanikisha ataziweka mbali kabisa na hata akija kukamatwa ataweka mawakili anaweza kutumia million 250 kuendeshea kesi...hata akishindwa akafungwa miaka 5 atatumikia kifungo hicho na akitoka ataweza kuishi vizuri.....leo tena naona thread kama hii hapa na wewe unataka kufanya kama dada yangu....kwa dada yangu nilikataa ...nikamfundisha njia zingine za wizi kuiba hizo pesa taratibu bila kustukiwa na hii na sasa anazitafuna sawasawa japo mpango wake wa kukwapua kwa mpigo nahisi bado upo maana kila nikiongea nae anasisitiza hilo.......

nahisi na wewe kwa sasa unahitaji namna ya kuzikwapua hizo pesa taratibu....lakini kwa mpigo unaweza usifike mbali wakakudaka.......

LOL. Kwa hiyo hata kije chama kingine ufisadi utakuwa pale pale.
 
toka lini wanaume wa dar wakawa watu wa kazi????
kama unataka wanaume wa 'kazi', kaweke tangazo pale Majengo,

Kama unataka wanaume wa kukupa 'kazi' utawapata hapa sinza kijiweni....hawana kazi, hawana majukumu, hawafikiri chochote..........wakiingia kwenye kiuno, kazi ni moja tu!! hakuna kuwahi nyumbani, hakuna habari ya watoto watakula nini, hakuna habari ya kodi ya nyumba au site panaendeleaje........wao ni kazi moja tu!!!
 
toka lini wanaume wa dar wakawa watu wa kazi????
Dar ndio kila kitu...maujanja yote yanapatikana huku! Ungekuwa na kidume wa dar huo mpango wako ungekuwa umeshaufanikisha siku nyingi sana!
 
kama unataka wanaume wa 'kazi', kaweke tangazo pale Majengo,

Kama unataka wanaume wa kukupa 'kazi' utawapata hapa sinza kijiweni....hawana kazi, hawana majukumu, hawafikiri chochote..........wakiingia kwenye kiuno, kazi ni moja tu!! hakuna kuwahi nyumbani, hakuna habari ya watoto watakula nini, hakuna habari ya kodi ya nyumba au site panaendeleaje........wao ni kazi moja tu!!!
b unapenda kazi hizo?
 
Kosa la kwanza ni kutangaza nia kwa watu usiowajua ambao wanaweza pewa dau kubwa zaidi kwa kutoa taarifa ya mpango wako na kupokea dau kubwa zaidi kutoka kwa kampuni unayofanyia kazi....kama una mwanasheria mzuri atahitaji details za kampuni....na akizipata anything can happen....ukitaka kuwa mafia,uwe mtunza siri mzuri na mtu mwenye akili inayofanya kazi haraka sana bila kutegemea watu wengine....!Mawakili wanne?? wote unawapa details...hufai kuwa mwizi....!!
 
tumia ujanja...kuzipiga zote kwa pamoja lazima itakucost! utawasababishia hao watoto hata wasisome kabisa!!
wasiposoma nikiwa jela haitaniuma kiivyo kama wasiposoma nikiwa nafungia u$ 400 @day
 
Back
Top Bottom