Get 100GB free online storage for life time

tensons wanatoa terabyte 1. hawa ni wale jamaa wa qq na ucweb

zipo nyingi tu
.
Kuna Baidu pan drive Wanatoa 2TB,
na kuna, Tencent wao 10TB,
na pia kuna 360CLOUD wanatoa 36TB, hawa ni hatari, ila sema tatizo hawa 360cloud ni chinese language!
.
.
 
Ku Upload data to that cloud storage ndo itakucost doo mob sana, hata ingawa wanadai ni free. Especially ka wewe unapenda kununua na kutumia data bundles
 
Hivi kwa wanao 2mia google Drive, ku store picha,
mbona mi naona wanazipunguza kb, tofauti na 4shared,
wao size ya picha inakuwa kama ilivyo!
.
.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom