Gesti nzuri bei ndogo

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,592
8,874
Wakuu habari nakuja dar kesho kutwa kwa mishe zangu flani kwa wenyeji gesti ipi nzuri iwe mitaa ya magomeni sinza na makumbusho bei 15000 sio mbaya
 
Chukua hotel magomeni karibu na kwa macheni, sio mbaya, ipo karibu na town itakurahisisha kazi zako, dar traffic sana.
 
Back
Top Bottom