mtzmweusi JF-Expert Member Apr 20, 2013 8,594 8,877 Dec 9, 2014 #1 Wakuu habari nakuja dar kesho kutwa kwa mishe zangu flani kwa wenyeji gesti ipi nzuri iwe mitaa ya magomeni sinza na makumbusho bei 15000 sio mbaya
Wakuu habari nakuja dar kesho kutwa kwa mishe zangu flani kwa wenyeji gesti ipi nzuri iwe mitaa ya magomeni sinza na makumbusho bei 15000 sio mbaya
Daud omar JF-Expert Member Apr 4, 2011 2,458 977 Dec 9, 2014 #2 Gatundu ipo magomeni mtaa wa takadiri, karibu Dar es salaama ndugu
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 Dec 9, 2014 #3 karibu...vipi unakuja na goma au utalikutia huku...
GHIBUU JF-Expert Member Jan 13, 2011 4,432 3,006 Dec 9, 2014 #5 Chukua hotel magomeni karibu na kwa macheni, sio mbaya, ipo karibu na town itakurahisisha kazi zako, dar traffic sana.
Chukua hotel magomeni karibu na kwa macheni, sio mbaya, ipo karibu na town itakurahisisha kazi zako, dar traffic sana.
I Isyaaa JF-Expert Member Jan 19, 2014 274 62 Dec 9, 2014 #6 Preta said: Machi Machi Guest House.......... Click to expand... teh teh....umenichekesha wewe!! mabibo moja hiyo..ntakuwa nakufahamu wewe..kumbe ni bei rahisi hivyo?
Preta said: Machi Machi Guest House.......... Click to expand... teh teh....umenichekesha wewe!! mabibo moja hiyo..ntakuwa nakufahamu wewe..kumbe ni bei rahisi hivyo?