Gesi kwanza!!!!! 10% za Uswis baadae.. Kikwete unasikia???????!!!!!!

Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,724
168cyah.jpg
 
Komaaeni mtwara sasa hivi barabara yenu itaasha,wahusika washajua kuwa tayari mmeshituka.Waangalieni pia wabunge ambao hawako nyinyi katika hiki kipindi kigumu.
 
Mwenzenu ndo kaenda kupatana bei ya kuiuza hiyo gesi huko Ufaransa, halafu akishapewa hizo hela ataenda kuzificha uswiz na bada ya hapo atakwenda Canada kujipongeza na kucheza na vigari vinavyoendeshwa na farasi.

View attachment 80050
 
Mwenzenu ndo kaenda kupatana bei ya kuiuza hiyo gesi huko Ufaransa, halafu akishapewa hizo hela ataenda kuzificha uswiz na bada ya hapo atakwenda Canada kujipongeza na kucheza na vigari vinavyoendeshwa na farasi
View attachment 80050

Ninachompendeaga huyu ------, huwaga anapenda na kudanganywa na vitu vidogo vidogo kama vile bembea, kupiga picha na mastaa na hata kupanda viberenge...teh teh teh
 
Back
Top Bottom