Hapo sasa inategemea na matumizi, mi linakaa miezi hata MitatuNa hilo gunia linamaliza mwezi?
Ameshakana 50m kila kijiji! Tumetoka Noah mpk Balimi 2!Wakati wa kampeni tulihakikishiwa gesi kuwa haitapanda bei
#KAULI_YA_KICHOCHEZI!Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Gesi ya mtwara sio hii tunayopikia...ile ili uweze kupikia inabidi isafirishwe kwa mabomba na hatujafikia huko bado labda miaka 100Hivi hii ile gas ya mtwara vipi!?
KAULI YA KICHOCHEZIWakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Gesi ya mtwara bado mpaka network ya mabomba ijengweIle gesi ya mtwara bomba lake linavuja au?
Kweli uchumi wa vi-wonder unaimarika
Gesi ya mtwara ipo na inatumbika viwandani kama tcc na wazo hii na vinginevyoMkuu kwa wale tunatoka kufungua viwanda kwa kutegemea nishati ya gesi tunafanyaje hapa!
Hiyo ilikuwa ni kipindi tu cha kampeni baada ya kampeni kupanda bei ruksaWakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Dah.....Dadeki .... Bora ya huyu mara elfu.....angekuwa yule mbona ingekuwa kiyama.....Mwendokasi tu walitaka iwe buku2 unusuMlimchagua wenyewe