Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Nyie mnao lalamikia kuwa gesi imepanda ndo mlikuwa wapiga dili na marafiki wa mafisad na waujumu uchumi 'nitarara na nyie mbere kwa mbere"
 
Wamikoani ndo bei tunayo nunua na kama imepanda tena sisi tunanunua alfu 23 kama kipindi cha nyuma
 
Tusijali oman wazir wao wa mafuta na gesi alisema bandar ya bagamoyo watajenga na wataleta mafuta nadhani bandari tanga tuongee na mzee walete na gesi pia
 
Kupandisha bei ya gas ni mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali (japo wanajua) kuwa wanaua misitu kwa kuongeza matumizi ya mkaa na kuni.
 
Naanza kummic muhongo kidg alikua analeta maigizo ya gesi mtwara sasa anakuna mwenye kipaji cha kuigiza
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom