Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Ile gesi ya mtwara bomba lake linavuja au?

Kweli uchumi wa vi-wonder unaimarika
 
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
umepandisha bei wewe huku kwetu hawajui
 
Tutaanza kupikia mabura na kuni hamna namna na mafuta ya taa
 
Back
Top Bottom