Gesi inayotumia mabaki na taka za vyakula kuoneshwa mlimani city 31 may - 3 june | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gesi inayotumia mabaki na taka za vyakula kuoneshwa mlimani city 31 may - 3 june

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by simgas, May 30, 2012.

 1. s

  simgas Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Simgas Tanzania limited, itafanya maonesho ya gesi yake ya kutumia taka na mabaki ya chakula ( Gesi 550), Mlimani city kuanzia tarehe 31 may hadi 3 june. Wadau wote watakaopenda kuona mtambo huo wa gesi, wanakaribishwa katika viwanja vya Mlimani city, geti la kuingilia kama unaenda survey, karibu na bakery ya Fairy Delight kuanzia asubuhi hadi jioni.


  For more info bip; 0767 746 427, 0658 746 427, 0684 747 427, 0779 747 427
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  sema na bei mbona ivyo'?na tunaitumiaje?
   
 3. s

  simgas Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bei yake ni shilingi laki 550, ambayo inajumuisha installation, jiko la plate moja bure, after sales- services na guarantee ya miaka miwili.Jinsi ya kutumia, unachanganya mabaki au taka za vyakula kama vile maganda ya ndizi, nyanya, vitunguu, au ukoko wa ugali, maganda ya mchicha na taka nyinginezo isipokuwa vitu vigumu kama mifupa, vifuu vya nazi, mawe, michanga, maganda ya mayai, vijiti na vitu vyenye acid kama machungwa, passion, ukwaju, maji ya chumvi, yenye sabuni n.k.unachanganya na maji halafu unaweka kwenye tank lako then unapata gesi yako
   
Loading...