Gerson Vieira kamzidi nini Ndemla?

Kipindi cha kwanza dynamo walifanikiwa kurudi mchezoni lakini baada ya kuingia gerson simba ikarudi kwenye ubora kumbuka kuna wachezaji muhimu lakini huwa hawaonekani uwanjani mfano muzamir yassin
Wengi hawaangalii mabadiliko ya timu.

Shiboub yupo fit ila jana moto ulikata. Box to box midfielder inahitajika uwe na mapafu ya mbwa mithili ya kina Michael Essien.

Naamini Prof Ausseum ameliona hilo na atalifanyia kazi. Shiboub atakuwa mcharo zaidi kwenye mechi zijazo.
 
Vip kuhusu wawa mkuu
 
Vip kuhusu wawa mkuu
Wawa ana shida kuu ya kujisahau kucheza mipira ya juu hasa kwenye setpieces.

Simba inafungwa sana aina ya magoli yanayofanana. Kiutaratibu kama anaona yeye hawezi kuucheza mpira wa juu anatakiwa awe anatuma mtu kuziba hilo gap.

Kibongo bongo sio mbaya. Vitu vingne vinakuja ‘automatically’ hususani umri ukiwa umekwenda.

Akili inataka ila mwili hautaki. Hicho nahisi ndo kinamkuta Paskali.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom