#COVID19 Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

Hii ndio ile inaitwa at your own risk.. Ni mbinu ya serikali kukimbia uwajibikaji.. Hizo chanjo ni zile zilizokataliwa marekani tukapewa kama msaada...!
Hata hivyo ni nani huku Afrika anaweza kuivimbia serikali akipata madhara? Dawa kibao zimewahi kudhuru watu hakini hakuna cha fidia wala nini
Hatari na nusu
 
Kinga ni bora kuliko tiba. Nendeni mkachanjwe.

Ni kutokana na fomu ambayo inatakiwa u sign kabla ya ku choma chanjo. Kwenye zile chanjo zetu nyingine za miaka na miaka huwa hatuambiwi hili.

Ila hii ya Corona tusije anza kusema sijui serikali nini ,sijui chanjo nini. Jamani jamani, shime tukachanje. Kinga ni bora kuliko Tiba.
 
1627490978899.png

Ina maana hamna uhakika na chanjo mnayoitoa kwa wananchi?
 
Ni ujumbe kwamba "hatujafanya tafiti ya maana kuhusu hii kitu na kwa kuwa wazungu wanachoma, bila shaka ipo salama tuu maana na wao hawaogopi kufa. Ila in case kuna immediate side effects kwenu, msituulize kitu maana hatuna clue"
Na maana yake ukipata madhara ujigharamie matibabu yako mwenyewe.
 
Iko wazi sana kuchanjwa ni hiyari ya mtu.Ukiona kwamba haukubaliani na mkataba huo japo sina uhakika nao huu mkataba then unaacha
 
Hizo sizo "consent forms" za kwanza kusaini watanzania.

Kwa wagonjwa wa KUPASULIWA huwa wanazisaini kila uchao....wakishindwa kwa sababu ya udharura huwa wanazisaini NDUGU ZAO.....

#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
Yaani natamani comment yako hii iwekwe kwenye taa za barabarani ili kila mtu asome. Wajinga Sana hawa waumini wa jiweism.
 
Hizo sizo "consent forms" za kwanza kusaini watanzania....

Kwa wagonjwa wa KUPASULIWA huwa wanazisaini kila uchao....wakishindwa kwa sababu ya udharura huwa wanazisaini NDUGU ZAO.....

#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
Hata wewe Jumbe leo umebadili gear angani, na jua ni mmoja wa mliosema ni kakorona. Basi ni jambo jema kama umetambua kuwa Kinga ni bora kuliko tiba, na pia chanjo ya corona sii chanjo ya kwanza kuipata wewe, kwani chanjo karibia zote zautotoni tunazipata na hatutengenezi wenyewe, iweje tulilie shaka hii ya corona.
 
Maana yake ni kwamba hata serikal hwana uhakika nayo ndio maana hawataki kuchukua dhamana, yanini nichome halafu yakitokea yakitokea aliyesema nichome anaruka vihunzi?
 
Hizo sizo "consent forms" za kwanza kusaini watanzania....

Kwa wagonjwa wa KUPASULIWA huwa wanazisaini kila uchao....wakishindwa kwa sababu ya udharura huwa wanazisaini NDUGU ZAO.....

#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
Nimemshangaa kweli, hizi siasa hizi!
 
Back
Top Bottom