Nyungu nayo ni utaalamu ndugu huwezi jifukiza kiholela tuNdiye aliyeleta shida ya watu kutokuamini taaluma badala yake wakimbilie nyungu .
Tuachane nayo kwa hoja zipi? Uzuri wake ni kwamba ni hiari. Asiyetaka asichanje. Ya nini kutokwa povu kwa kitu ambacho ni hiari?Maoni yako ni nini, mkuu tufate chanjo au tuachane na chanjo??
Unaichukuliaje GCLA?Je, tuna Lab za kisasa kabisa za kupima ubora wa chanjo nchini.
tangu wamfukuze kazi yule dada hatuna imani nayo tena, inaendeshwa kisiasa zaidi.Unaichukuliaje GCLA?
Pumzika kwa amani Hayati Dr. Magufuli
Twambie wewe kuhusu GCLA unavyoijuaUnaichukuliaje GCLA?
Yani chanjo iwe ya Kwao Madhara yanipate Baada ya hyo Chanjo Then waseme Hawahusiki?Kuna waziri amesema wao walishachanjwa kitambo.
Yani chanjo iwe ya Kwao Madhara yanipate Baada ya hyo Chanjo Then waseme Hawahusiki?