DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 10,519
- 21,433
itakuaa ajabu nisipopanda pipaNamsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.