Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,391
3,395
Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

IMG_20211022_222656_093.jpg

My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
 
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

View attachment 1983658

Tuliambiwaga kuwa tayari ATCL imeanza kutengeneza faida 30 billion
 
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

View attachment 1983658

My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.

Wangeleta 100 zingine zilizolipiwa kwa keshi ingependeza zaidi 😁😁
 
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

View attachment 1983658

My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Wewe usiefahamu hizi biashara ndio umerogwa

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

View attachment 1983658

My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Natabiri zitaenda Zanzibar
 
Wewe usiefaham hizi biashara ndio umerogwa

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Hakuna biashara hapo. Kununua bombardier halafu Ikawa unafanya safari za ndani ni sawa na kununua basi la abiria halafu ukalifanya kuwa la kwendea kazini wewe na mkeo/mumeo. Ujinga.

Ndege ziko 11 halafu zinazofanya kazi ni 7 tena kwa hasara. Hizi nyingine zinakaa tu halafu baada ya miezi 6 zinaenda matengenezo. Wizi mtupu.

Wewe mkulima wa Nanjilinji hujui kinachoendelea huko viwanja vya ndege tuachie wenye fani
 
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.

View attachment 1983658

My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Huyo Mtangazaji wa hicho Kipindi popote alipo aanze Kujiandaa kwani Cheo cha ama DC au DED na hata DAS Kwake hakipo mbali kuanzia sasa. Mfikishieni huu Ujumbe wangu Muhimu Kwake tafadhali kwani GENTAMYCINE sijawahi 'Kutabiri' Jambo ( Kitu ) na kisije kutokea iwe sasa, Kesho au hata baadae.
 
Back
Top Bottom