BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 327
- 414
Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini, biashara na kutangaza mazuri ya Tanzania na hali halisi ya nchi ili kutotoa mwanya kwa wanaojaribu kuichafua.
#KaziInaendelea
#KaziInaendelea