Mwambie hivi na sisi tunafahamu nchi ambazo wananunua GB moja kwa bei sawa na Tsh 250"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
So long hajasema ni dola gani, bila shaka itakua Dola ya Zimbabwe"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Ulaya sehemu nyingi hizo dola 15 (ukitumia dola) ni malipo ya kufanya kazi lisaa limoja mpaka limoja na nusu. Yaani tukuchukulia maneno yake ni ya kweli, basi mtu akifanya kibarua cha lisaa limoja na nusu tu ameshapata mshiko wa kununua hiyo GB 1. Utafananisha na Tanzania?Na pia iko nchi mwenye elimu kama yako ni mzoa taka tu
Na sisi si ni miongoni mwa nchi 5 Masikini zaidi Africa..ama?"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
Na hizo nchi kipato cha wananchi wake ni sawa na kipato cha Watanzania?"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"